WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018

Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango na Bajeti wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Amani Mashaka(katikati), akitoa...


gcu1
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango na Bajeti wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Amani Mashaka(katikati), akitoa maelekezo   kwa watumishi   ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakati wa kikao cha Mpango Kazi na Mpango wa Ununuzi wa bajeti ya wizara hiyo.Kikao hicho kimefanyika leo  katika ukumbi wa Bwalo la Jeshi la Magereza,Ukonga,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
gcu2
Mtumishi wa  Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Fatuma Mohamed (aliyevaa miwani),  akiomba ufafanuzi kutoka kwaKaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango na Bajeti wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Amani Mashaka(aliyesimama kulia) wakati wa Kikao cha Mpango Kazi na Mpango wa Ununuzi wa bajeti ya wizara.Kikao kimefanyika leo katika Ukumbi wa  Bwalo la Jeshi la Magereza,Ukonga,jijini Dar es Salaam.
gcu3
Mratibu Mwandamizi wa Uhamiaji,Colla Kayumba, akizungumza na watumishi wengine wa idara hiyo,Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji,Said Kassim(katikati) na Mkaguzi Msaidizi Sanga Hussein, wakati wa Kikao cha Mpango Kazi na Mpango wa Ununuzi wa bajeti ya wizara.Kikao hicho  kimefanyika katika Ukumbi wa Bwalo  la Jeshi la Magereza,Ukonga,jijini Dar es Salaam.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018
WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKUTANA KUJADILI MPANGO KAZI NA MPANGO WA UNUNUZI WA BAJETI YA 2017/2018
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/06/gcu1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/wizara-ya-mambo-ya-ndani-wakutana.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/wizara-ya-mambo-ya-ndani-wakutana.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy