WASHIRIKI WA SHINDANO LA BONGO STYLE WAENDESHEWA SEMINA KUHUSU PICHA, MITINDO NA UANDISHI WA FILAMU

Bi. Joyce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO) akitoa maelezo kwa washiriki wa  'Bong...



Bi. Joyce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO) akitoa maelezo kwa washiriki wa  'Bongo Style Competition'  2017, kuhusiana na asasi ya FASDO
Mwezeshaji Erick Chrispin akitoa semina kwa washiriki wa Bongo Style namna ya kujiongoza wenyewe katika maswala ya Fedha, Muda na uongozi.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Bongo Style 2017, wakiwemo wapiga picha,waandishi wa miswada ya Filamu na wabunifu wa mitindo upande wa mavazi wakiwa wanafanya zoezi waliopewa na mwezeshaji, Erick Chrispin (ambaye hayupo pichani).
Baadhi ya Washiriki wa Bongo Style Competition 2017 wakiwa wanafanya kazi waliyopewa na mwezeshaji, Erick Chrispin (hayupo pichani) baada ya kumaliza semina yake.
 Mkufunzi na Mtaalam wa maswala ya Picha, Iddy John akitoa somo juu ya maswala ya picha kwa washiriki wa Shindano la Bongo Style kundi la  Picha.
Mbunifu maarufu wa Mitindo ya mavazi Martin Kadinda akitoa somo kwa washiriki  kundi la mitindo
Washiriki wa kundi la  Ubunifu wa mitindo upande wa  mavazi wakipewa vitendea kazi.
Christina Pande (aliyesimama) ambaye ni Mtunzi na muongozaji wa Filamu, akiwapa darasa vijana ambao wapo katika kundi la Uandishi wa  miswada ya Filamu shindano la Bongo Style 2017. (Picha zote na Fredy Njeje)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WASHIRIKI WA SHINDANO LA BONGO STYLE WAENDESHEWA SEMINA KUHUSU PICHA, MITINDO NA UANDISHI WA FILAMU
WASHIRIKI WA SHINDANO LA BONGO STYLE WAENDESHEWA SEMINA KUHUSU PICHA, MITINDO NA UANDISHI WA FILAMU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbjWMLqFuJYytnT3v2_-i_LS2-gBRnuufiVLCHKlWIBoS5VzcY2Z6ZqiGYfCYHc2K2c2HP7xmhXv0vI9xpeEwXTIn8w16KQ5hZozy98ujYDufr-DfKpA8_4zWOO8JtIP8pc3LDSDkpClbr/s640/2.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbjWMLqFuJYytnT3v2_-i_LS2-gBRnuufiVLCHKlWIBoS5VzcY2Z6ZqiGYfCYHc2K2c2HP7xmhXv0vI9xpeEwXTIn8w16KQ5hZozy98ujYDufr-DfKpA8_4zWOO8JtIP8pc3LDSDkpClbr/s72-c/2.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/washiriki-wa-shindano-la-bongo-style.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/washiriki-wa-shindano-la-bongo-style.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy