WABUNGE WA VITI MAALUMU CCM MKOA WA DAR, WAFANYA ZIARA KUHAMASISHA WANACHAMA NA KUIMARISHA UHAI WA CHAMA KUELEKEA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE WA CCM UWT

Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala...

Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza na Viongozi na Wanachama wa UWT (CCM) wakati wa ziara ya wabunge hao katika Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kuhamasisha 
 wa Ndugumbi uliopo Magomeni Barafu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum CCM, Ikupa 
wanachama juu ya uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama. Mkutano huo ulifanyika leo mchana kwenye Ukumbi  Alex. (Picha Zote na Muhidin Sufiani )

 Baadhi ya Wanachama wa CCM Kina mama wakifurahia moja ya kauli ya mgeni rasmi.
 Wanachama wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi wakati wa mkutano huo.
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Masunga, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuhutubia.
 Wanachama wa CCM wakifurahi na kucheza na mgeni rasmi
 Wanachama wa CCM wakifurahi na kucheza na mgeni rasmi
 Wanachama wa CCM wakifurahi na kucheza na mgeni rasmi
 Ilikuwa ni furaha kwenda mbele.... 
 Wanachama wakishangilia
 Mgeni rsmi Angela Kairuki akiagana na wanachama waliokuwepo ukumbini humo baada ya kumaliza mkutano huo.
 Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza jambo na mmoja wa wanachama aliyekuwa akimueleza baadhi ya Kero za mtaani kwake baada ya kumaliza kuwahutubia Viongozi na Wanachama wa UWT (CCM) wakati wa ziara ya wabunge hao katika Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kuhamasisha wanachama juu ya uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa Ndugumbi uliopo Magomeni Barafu jijini Dar es Salaam.
 Mgeni rasmi Angela Kairuki akiagana na wanachama waliokuwepo ukumbini humo baada ya kumaliza mkutano huo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WABUNGE WA VITI MAALUMU CCM MKOA WA DAR, WAFANYA ZIARA KUHAMASISHA WANACHAMA NA KUIMARISHA UHAI WA CHAMA KUELEKEA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE WA CCM UWT
WABUNGE WA VITI MAALUMU CCM MKOA WA DAR, WAFANYA ZIARA KUHAMASISHA WANACHAMA NA KUIMARISHA UHAI WA CHAMA KUELEKEA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE WA CCM UWT
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAfMnlJiMcy_-es95grciH-_EtxJhwCf-SmntrrPQ6fPGjiR1dtTEihEetbJVxo1T4sbgJJhODW3nJT6jLeSrLDRCkWugquxW_uw8jEtCRNrmC90zbTyQJ1rvF-_ayiX6DOGwXozjnyk0/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAfMnlJiMcy_-es95grciH-_EtxJhwCf-SmntrrPQ6fPGjiR1dtTEihEetbJVxo1T4sbgJJhODW3nJT6jLeSrLDRCkWugquxW_uw8jEtCRNrmC90zbTyQJ1rvF-_ayiX6DOGwXozjnyk0/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/wabunge-wa-viti-maalumu-ccm-mkoa-wa-dar.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/wabunge-wa-viti-maalumu-ccm-mkoa-wa-dar.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy