F RAIS KENYATTA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI PINDI CHANA SIKU YA UTAMBULISHO | RobertOkanda

Wednesday, June 14, 2017

RAIS KENYATTA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI PINDI CHANA SIKU YA UTAMBULISHO


Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwenye Ikulu ya Eldoret Juni 13,2017. 
 
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana wa pili kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya (katikati) mara baada ya zoezi la kuwasilisha Hati za Utambulisho kukamilika.

0 comments:

Post a Comment