Mkurugenzi wa Mifumo ya Kompyuta wa Mfuko huo, Robert Mtendamema (wa pili kulia), akiwaongoza wafanyakazi wengine wa Mfuko huo, ...
Mkurugenzi
wa Mifumo ya Kompyuta wa Mfuko huo, Robert Mtendamema (wa pili kulia),
akiwaongoza wafanyakazi wengine wa Mfuko huo, kuchukua chakula cha futari, wakati wa hafla
ya kufuturisha wafanyakazi wa PPF, iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu jijini Dar
es Salaam.
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
MWEZI
Mtukufu wa Ramadhani ni mwezi wa kutubu kwa waumini wa dini ya Kiislamu, ambapo
kutekeleza hilo, waumini hujizuia kula, na kunywa wakati wa mchana, sambamba na
kufanya ibada wakati wote.
Ni mwezi
unaohimiza upendo na mshikamano miongoni mwa waislamu na wale wasio waislamu.
Kwa
kuonyesha mshikamano huo ambao umehimizwa katika kipindi hiki, Mkurugenzi Mkuu
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. William Erio, aliwaandalia futari wafanyakazi
wa Mfuko huo jijini Dar es Salaam Juni 16, 2017.
Akizungumza
kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, Mkurugenzi wa Mifumo ya Kompyuta wa Mfuko huo,
Bw.Robert Mtendamema, aliwaambia wafanyakazi hao kuwa Mkurugenzi Mkuu ameamua
kuwakutanisha pamoja wafanyakazi waislamu na wasio waislamu ili kuoneysha mshikamano
mingoni mwao na ni ishara ya Mfuko kuwaunga mkono waumini wa dini ya Kislamu
katika kutekeleza ibada hiyo ya funga.
Baadhi ya
wafanyakazi wa PPF, wakichukua futari, wakati wa hafla ya kufuturisha
iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
wafanyakazi wa PPF, wakifuturu wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo kwa wafanyakazi wake jijini Dar es Salaam.

wafanyakazi wa PPF, wakiwa wamechukua uji tayari kwa kufuturu.
Mkurugenzi
wa Mifumo ya Kompyuta wa Mfuko huo, Bw.Robert Mtendamema, (katikati),
akijumuika pamoja na wafanyakzi wenzake wakati wa kufuturu jijini Dar es Salaam
Baadhi ya
wafanyakazi wa PPF, wakifuturu wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo kwa wafanyakazi wake jijini Dar es Salaam.
Bw. Mtemdamema akifurahia jambo wakati akipata futari na wafanyakazi wenzake
Mkurugenzi
wa Mifumo ya Kompyuta wa Mfuko huo, Bw.Robert Mtendamema, akizungumza mara
baada ya futari hiyo.
Mfanyaakzi
wa PPF, akiomba dua mara baada ya wafanyakzi wa Mfuko huo kufuturu kwa pamoja
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
wafanyakzi wa PPF, wakibadilishana mawazo baada ya kufuturu kwa pamoja
Wafanyakzi hawa wa PPF, wakiagana baada ya kufuturu kwa pamoja
Mmoja wa waratibu wa futari hiyo ambaye
pia ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PPF, Bi. Janet Ezekiel, (kushoto),
akipongezwa kwa maandalizi mazuri ya shugjuli hiyo
COMMENTS