Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akizikagua jezi alizokabidhiwa na Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo Plaz...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akizikagua jezi alizokabidhiwa na Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo Plaza Bi Evelyine Mushi wakati wa dhifa ya makabidhiano iliyofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo uliopo Mtaa wa Kibamba Chama Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wakifatilia kwa karibu dhifa ya makabidhiano iliyofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo uliopo Mtaa wa Kibamba Chama Jijini Dar es Salaam
COMMENTS