MDEE, ESTHER BULAYA WAFUNGIWA KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE HADI MWAKANI

Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Mhe. Halima Mdee na Mbunge wa Bunda mjini (CHADEMA), Mhe. Esther Bulaya wameadhibiwa kutohudhu...


BULA
Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Mhe. Halima Mdee na Mbunge wa Bunda mjini (CHADEMA), Mhe. Esther Bulaya wameadhibiwa kutohudhuria vikao vyote vya bunge linaloendelea mpaka mkutano ujao wa Bunge la Bajeti  2018/19.
Hukumu hiyo imeungwa mkono na wabunge wengi waliopitisha azimio hilo mapema leo Jumatatu Juni 5, 2017 Kamati ya Maadili  ilisema Bulaya na Mdee wamemaliza adhabu za kawaida zilizopo kwenye kanuni za bunge. Hata hivyo, Bunge liliendelea  kujadili makosa ya wabunge hao wa Bunda na Kawe.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, George Mkuchika aliliomba Bunge kujadili adhabu inayostahili kulingana na makosa yao.
Kanuni inasema, mbunge anayefanya kosa la kwanza anaweza akazuiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 10 na atayakosea kwa mara ya pili anaweza kuzuiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 20.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MDEE, ESTHER BULAYA WAFUNGIWA KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE HADI MWAKANI
MDEE, ESTHER BULAYA WAFUNGIWA KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE HADI MWAKANI
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/06/BULA.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/mdee-esther-bulaya-wafungiwa-kushiriki.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/mdee-esther-bulaya-wafungiwa-kushiriki.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy