F MAVUNDE AKABIDHI KOMBE LA SPORTPESA SUPER CUP KWA GOR MAHIA FC LEO | RobertOkanda

Sunday, June 11, 2017

MAVUNDE AKABIDHI KOMBE LA SPORTPESA SUPER CUP KWA GOR MAHIA FC LEO

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vina na Watu Wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi Kombe la SportPes Super Cup, Nahodha wa Gor Mahia baada ya kuibuka washindi katika fainali ya kombe hilo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru dhidi ya AFC Leopards na kushinda mabao 3-0. (Picha kwa hisani ya Montage Ltd)
Wachezaji wa Gormahia ya Kenya wakishangilia bao dhidi ya AFC Leopards kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Sportspesa Super Cup 2017 kwenye uwa ja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 
Mshambuliaji wa Gor Mahia, Muguna Kenneth, akimtoka beki wa AFC Leopards, Abdallah Salim, wakati wa mchezo wa Fainali wa mashindano ya SportPes Super Cup, uliozikutanisha timu zote za Kenya uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Gor Mahia, Muguna Kenneth (kushoto) akimtoka beki wa AFC Leopards, Ramadhan Yakubu, wakati wa mchezo wa Fainali wa mashindano ya SportPes Super Cup, uliozikutanisha timu zote za Kenya uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Gor Mahia, Muguna Kenneth (kushoto) akimtoka beki wa AFC Leopards, Abdallah Salim, wakati wa mchezo wa Fainali wa mashindano ya SportPes Super Cup, uliozikutanisha timu zote za Kenya uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 
 
Mshambuliaji wa Gor Mahia, Kagere Medie, akiruka kupiga mpira wa kichwa langoni kwa AFC Leopards, wakati wa mchezo wa Fainali wa mashindano ya SportPes Super Cup, uliozikutanisha timu zote za Kenya uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 
 

Beki wa AFC Leopards, Abwao Marcus akiwania mpira na mshambuliaji wa Gor Mahia, Wafula Innocent, wakati wa mchezo wa Fainali wa mashindano ya SportPes Super Cup, uliozikutanisha timu zote za Kenya uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 

0 comments:

Post a Comment