JESHI LA ZIMAMOTO LAPONGEZWA NA WANANCHI BAADA YA KUFANIKIWA KUZIMA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM

Watanzania wenye asili ya kihindi wakiwa kwenye kifaa kinachotumika na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, baada ya jengo lililopo Mtaa...




Watanzania wenye asili ya kihindi wakiwa kwenye kifaa kinachotumika na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, baada ya jengo lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi,jijini Dar es Salaam, kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Wananchi wamelipongeza jeshi la Zimamoto kwa kufika eneo la tukio kwa wakati na licha ya kuwa na vifaa duni walifanikiwa kuzima moto huo.(PICHA NA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI)

Askari wa  Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakijiandaa kupokea waathirika wa janga la moto  katika shughuli za uzimaji moto baada ya jengo lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi,jijini Dar es Salaam,kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana
Jengo la ghorofa 12 lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi lililoshika moto na kufanikiwa kuzimwa na askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,leo jijini Dar es Salaam

Jengo la ghorofa 12 lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi lililoshika moto na kufanikiwa kuzimwa na askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,leo jijini Dar es Salaam

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JESHI LA ZIMAMOTO LAPONGEZWA NA WANANCHI BAADA YA KUFANIKIWA KUZIMA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM
JESHI LA ZIMAMOTO LAPONGEZWA NA WANANCHI BAADA YA KUFANIKIWA KUZIMA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh-QXsyzIXh5OWOTlgjcMNjovcuMTWX7mYMjG_dBEaPT5a5x7kZ2-vJ5mRTRS7NE-jke9AnVlR-cZVzySujOPSTSZN8nlqgpKBFVREaLcuKu7_8aIlsInlLnFEptGuOqKxVasfh-mNBJxM/s640/PIX+1%25281%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh-QXsyzIXh5OWOTlgjcMNjovcuMTWX7mYMjG_dBEaPT5a5x7kZ2-vJ5mRTRS7NE-jke9AnVlR-cZVzySujOPSTSZN8nlqgpKBFVREaLcuKu7_8aIlsInlLnFEptGuOqKxVasfh-mNBJxM/s72-c/PIX+1%25281%2529.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/jeshi-la-zimamoto-lapongezwa-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/jeshi-la-zimamoto-lapongezwa-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy