F YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA 18 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI DAR ES SALAAM | Okandablogs

Sunday, May 21, 2017

YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA 18 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI DAR ES SALAAMMwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni kwenye Mkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimtambukilisha Waziri wa Biashara, Viwanda na Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Rwanda Mhe. Francois Kanimba kwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni  kabla ya kuanza kwa  Mkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi Mhe. Gaston Sindimwo kwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni  kabla ya kuanza kwa  Mkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam
Naibu Rais wa Kenya Mhe. William Ruto akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kikanda Dkt. Augustine Mahiga
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
Viongozi wakijiandaa na mkutano wao wa ndani
Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akiongea na Waziri wa Sheria na Katiba wa Tanzania Profesa Paramagamba Kabudi (kushoto).

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
Ujumbwe wa Rwanda mkutanoni hapo
Gavana wa Benki Kuu Mstaafu Mzee Edwin Mtei (kati) akiwasili ukumbini
Meza kuu ya viongozi ikiwa imesimama wakati wa wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wajumbe wa mkutano wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wajumbe wa mkutano wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wajumbe wa mkutano wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wajumbe wa mkutano wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Mpiga picha wa Naibu Rais wa Kenya akiwa kazini.
Sehemu ya wajumbe na mabalozi wa nchi mbalimbali.
Wajumbe na mabalozi.
 
Mabalozi na wageni waalikwa.
Mshereheshaji akitoa maelezo ya awali.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia.
Wajumbe wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea na hotuba.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimalizaia hotuba na kuaga rasmi.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribishwa kitini pake Mwenyekiti mpya Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli na anayeingia Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni wakirekebisha mkao wa majina
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki Dkt Libérat Mfumukeko akifungua pazia.
Wajumbe na wageni waalikwa wakifuatilia.
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya akiendesha mkutano
Wajumbe wa Tanzania.
Mkutano ukiendelea.
Viongozi wakiweka sahihi makubaliano yaliyofikiwa.
Mwanahabari kutoka Burundi akiwa kazini.
Wajumbe wakifurahia jambo.
Jaji Charles Oyo Nyawezo kutoka Sudan ya Kusini akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki .
Jaji Charles Oyo Nyawezo kutoka Sudan Kusini  akipongezwa kwa kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kula kiapo. 
Jaji Charles Oyo Nyawezo kutoka Sudan Kusini akipongezwa kwa kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kula kiapo. 
Mhandisi Steven Mrote kutoka Tanzania akila kiapo kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Sekretariat ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Eng.Steven Mrote kutoka Tanzania kwa kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Sekretariat ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kula kiapo. 
Naibu Rais wa Kenya Mhe. William Ruto akimpongeza Eng. Steven Mrote kutoka Tanzania kwa kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Sekretariat ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kula kiapo. 

Mshindi wa tano wa insha akipongezwa.
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Yoweri Museveni wa Uganda akimkabidhi zawadi mwanafunzi wa kitado cha nne aliyejishindia nafasi ya nne katika mashindano ya uandishi wa insha ya Jumuiya hiyo kutoka Shule ya Sekondari Kibaha, Tanzania Joseph Mbogo .
Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mwanafunzi wa kitado cha nne aliyejishindia nafasi ya nne katika mashindano ya uandishi wa insha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Shule ya Sekondari Kibaha, Tanzania  Joseph Mbogo 
Mshimdi wa tatu wa insha akipokea zawadi yake
Mshindi wa pili wa insha kutoka Uganda akipokea zawadi yake
Mshindi wa jumla wa mashindano ya insha kutoka Burundi akipokea zawadi yake

Tamko la kulimganisha mitaala ya elimu ya juu kwa nchi zote wanachama

Wanahabari kazini
Wajumbe wakifuatilia kinachoendelea
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni akihutubia mkutano
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni akihutubia mkutano
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni akihutubia mkutano
Wajumbe wakiwa wamefurahishwa na hotuba ya  Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni baada ya kuhutubia kwenye Mkutano 
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni akionesha waraka baada ya kuhutubia kwenye Mkutano 
Mabalozi wakifuatilia hotuba kwa makini
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Mstaafu Mzee Edwin Mtei
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja .
Picha ya pamoja na Mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya.
Picha ya pamoja na Sekretarieti ya Jumuiya.
Picha ya pamoja na mabalozi.
Picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wao.
Viongozi wakiwapongeza wanafunzi walioshiriki mashindano ya insha.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni baada ya Mkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt. Pindi Chana kwa Naibu Rais wa Kenya Mhe. William Ruto.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto na Makamu wa kwanza wa Rais wa Burundi Mhe. Gaston Sindimwo.
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Burundi Mhe. Gaston Sindimwo.
 
Rais Dkt Magufuli akisalimiana na baadhi ya wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Rwanda Mhe. Francois Kanimba.
Rais John Magufuli akiagana na AggreyTisa Sabuni, Mshauri wa Uchumi wa Rais wa  Sudan ya Kusini.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba  kwa kuhitimisha vyema mkutano huo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Ali Idi Siwa.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Waziri  wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kikanda Dkt. Augustine Mahiga kwa kuhitimisha vyema mkutano huo.
Waziri  wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kikanda Dkt. Augustine Mahiga akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Ali Idi Siwa na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt. Pindi Chana. (Picha na IKULU)

0 comments:

Post a Comment