MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA

Mei 25 kila mwaka Mataifa mbalimbali Barani Afrika huadhimisha Siku ya Afrika kama sehemu ya mataifa hayo kukumbuka ukombozi wake barani ...

Mei 25 kila mwaka Mataifa mbalimbali Barani Afrika huadhimisha Siku ya Afrika kama sehemu ya mataifa hayo kukumbuka ukombozi wake barani Afrika.

Jijini Mwanza, watengenezaji na wauzaji wa vitu vya kitamaduni wamewataka watanzania kuongeza kasi ya matumizi ya vitu hivyo badala ya kutegemea vitu kutoka mataifa ya Maghabiri.
#BMGHabari
Kulia ni Mzee Francis Gabriel pamoja na Bi.Salome Babae ambao ni watengenezaji na wauzaji wa bidhaa za asili wakiwa kwenye eneo lao la biashara. Wanapatikana eneo la darajani Jijini Mwanza. Mawasiliano yao ni 0783 83 83 73
George Binagi-GB Pazzo

Watanzania wameshauriwa kupenda kutumia bidhaa za asili ikiwemo mavazi na urembo ili kuondoakana na utumwa wa kutovipa thamani vitu hivyo.



Wauzaji wa vitu vya asili katika eneo la darajani jijini mwanza, wayasema hayo wakati wakizungumza na lake fm kuhusiana na maadhimisho ya siku ya afrika hii leo.



Maadhimisho ya siku ya afrika yalianza kuadhimishwa tangu mei 25 mwaka 1963 yakilenga kuyahamasisha mataifa ya bara la afrika kujikomboa kutoka utumwani hususani kiakiri na kifira ili kuthamini zaidi tamaduni za kiafrika.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA
MAADHIMISHO YA SIKU YA AFRIKA, WAUZAJI WA BIDHAA ASILI JIJINI MWANZA WANENA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4mYfH1LvMZTIKxOhSt3-3rwexHJ25koRIoIizG7gJU72g6oKmndiIfziPCgZHR3JP1X7axOqO2kBYzASAVfAfol6xdmz5UGMY_cCyjqeeqRsV0iTr3VsHE-et2cUOdgu4oIZUnIDFnhk/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4mYfH1LvMZTIKxOhSt3-3rwexHJ25koRIoIizG7gJU72g6oKmndiIfziPCgZHR3JP1X7axOqO2kBYzASAVfAfol6xdmz5UGMY_cCyjqeeqRsV0iTr3VsHE-et2cUOdgu4oIZUnIDFnhk/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/maadhimisho-ya-siku-ya-afrika-wauzaji.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/maadhimisho-ya-siku-ya-afrika-wauzaji.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy