F KAMPENI YA "NG'ARISHA NZENGO, UCHAFU NUKUSI" YAZINDULIWA JIJINI MWANZA | RobertOkanda

Tuesday, May 2, 2017

KAMPENI YA "NG'ARISHA NZENGO, UCHAFU NUKUSI" YAZINDULIWA JIJINI MWANZA


Mei Mosi 2017, umefanyika uzinduzi wa kampeni ya "Ng'arisha Nzengo, Uchafu Nuksu" inayoratibiwa na 102.5 Lake Fm Mwanza @lakefmmwanza #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo.

Kampeni inalenga kuhamasisha jamii kuweka mazingira katika hali ya usafi muda wote huku Wananzengo wa minadani wakipata fursa ya kipekee. Endelea kuitegea sikio 102.5 #LakeFm Mwanza kwa burudani na habari zaidi.

@bmghabari @gbpazzo ©Ng'arishaNzengoUchafuNuksi√√√√

0 comments:

Post a Comment