TAMISEMI YABARIKI MICHUANO YA COPA UMISSETA 2017 – COCA-COLA KUENDELEA NA UDHAMINI KAMA KAWA

Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akitoa hotuba ya ufunguzi kwa washiriki wa semina ...



Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akitoa hotuba ya ufunguzi kwa washiriki wa semina elekezi kwa Maafisa Elimu na Maafisa Michezo wa mikoa yote nchini, ikiwa ni maandalizi mahsusi ya uzinduzi rasmi wa mishindano ya michezo ya Copa UMISSETA 2017, ambapo kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola imeendelea kudhamini mashindano hayo. Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki Dodoma na kushirikisha wadau mbalimbali kutoka serikalini na Coca-Cola Tanzania. Ufunguzi rasmi wa michuano hii utafanyika katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma siku ya Ijumaa Aprili 28, 2017.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Bw Yusuf Singo akizungumza na washiriki wa semina elekezi kwa Maafisa Elimu na Maafisa Michezo wa mikoa yote nchini, ikiwa ni maandalizi mahsusi ya uzinduzi rasmi wa wamishindano ya michezo ya Copa UMISSETA 2017, ambapo kampuni yavinywajibaridiya Coca-Cola imeendelea kudhamini mashindano hayo. Katikati ni Naibu Waziri wa Tawala za Mikoana SerikalizaMitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akiwa pamoja na Afisa Msimamizi wa Copa Cola-Cola, Pamela Lugenge (kushoto). Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki Dodoma na kushirikisha wadau mbalimbali kutoka serikalini na Coca-Cola Tanzania. Ufunguzi rasmi wa michuano hii utafanyika katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma siku ya Ijumaa Aprili 28, 2017.
Afisa Msimamizi wa Copa Cola-Cola, Pamela Lugenge (kushoto) akizungumza na washiriki wa semina elekezi kwa Maafisa Elimu na Maafisa Michezo wa mikoa yote nchini, ikiwa ni maandalizi mahsusi ya uzinduzi rasmi wa mashindano ya michezo ya Copa UMISSETA 2017, ambapo kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola imeendelea kudhamini mashindano hayo. Katikati ni Naibu Waziri wa Tawalaza Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Bw Yusuf Singo (kulia). Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki Dodoma na kushirikisha wadau mbalimbali kutoka serikalini na Coca-Cola Tanzania. Ufunguzi rasmi wa michuano hii utafanyika katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma siku ya Ijumaa Aprili 28, 2017.
Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akiteta na viongozi mara baada ya kumalizika kwa semina.
Meza kuu.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAMISEMI YABARIKI MICHUANO YA COPA UMISSETA 2017 – COCA-COLA KUENDELEA NA UDHAMINI KAMA KAWA
TAMISEMI YABARIKI MICHUANO YA COPA UMISSETA 2017 – COCA-COLA KUENDELEA NA UDHAMINI KAMA KAWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgX5M5HU8CoeaW7t1svAc1MB2w-ImQy3SXOaOXQgLhmlfN3CUkjV0F9lm-khxtUfA2NdWO9MTRURg3SsFHbRhumUb0Rh8br7qdfatuvZ4OvbZWDhkL9jUXhOTB72n8Iy00kHRCQwCV85IU/s640/IMG_4906.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgX5M5HU8CoeaW7t1svAc1MB2w-ImQy3SXOaOXQgLhmlfN3CUkjV0F9lm-khxtUfA2NdWO9MTRURg3SsFHbRhumUb0Rh8br7qdfatuvZ4OvbZWDhkL9jUXhOTB72n8Iy00kHRCQwCV85IU/s72-c/IMG_4906.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/tamisemi-yabariki-michuano-ya-copa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/tamisemi-yabariki-michuano-ya-copa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy