SPIKA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA NA SPIKA MSTAAFU MAMA ANNE MAKINDA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto), akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokut...

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto), akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Iran nchini Tanzania, katikati ni Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipiga picha ya pamoja na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma.
 
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Spika Mstaafu, Mhe. Anne Makinda (kulia) ugeni uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SPIKA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA NA SPIKA MSTAAFU MAMA ANNE MAKINDA
SPIKA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA NA SPIKA MSTAAFU MAMA ANNE MAKINDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifkbKvxMGAXN9Cnty3JWjFbS47IJxaDkW3kZh4eleuqrHeQz1JkBJwuW36y-BBTo-qTD-CkAtIfk3vOY90dS_JrVWhua40XMzOG1W5BHspiArxy4Tc3awI1R9N0NGAY5UplmyL-bMXUsY/s640/IMGL7496.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifkbKvxMGAXN9Cnty3JWjFbS47IJxaDkW3kZh4eleuqrHeQz1JkBJwuW36y-BBTo-qTD-CkAtIfk3vOY90dS_JrVWhua40XMzOG1W5BHspiArxy4Tc3awI1R9N0NGAY5UplmyL-bMXUsY/s72-c/IMGL7496.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/spika-akutana-na-balozi-wa-iran-nchini.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/spika-akutana-na-balozi-wa-iran-nchini.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy