Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe, Naibu Waziri wake Mhe.Anastazia Wambura,Waziri wa Mambo ya N...
Waziri
wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe, Naibu
Waziri wake Mhe.Anastazia Wambura,Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu
Nchemba, baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wakiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Miss Tanzania Supermodel, Asha Mabula katika viwanja vya Bunge mara baada ya mrembo uyo
kutembelea Bungeni hapo Mjini Dodoma. (Picha na Daudi Manongi-MAELEZO)
COMMENTS