F MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO | RobertOkanda

Sunday, April 30, 2017

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki pamoja na viongozi wengine wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi katika uwanja wa ndege wa ndege wa Kimataifa Kilimnajaro (KIA) leo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika awanjani hapo kumlaki. Anatajiwa kuhudhuria sherehe za wafanya kazi Mei Mosi zitakazofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro kesho.

0 comments:

Post a Comment