LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMA ALHAMISI APRILI 27, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wa Ubungo, (CHADEMA), Mhe. Saed Kubenea kwenye viwanja vya bunge mjini Dod...



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wa Ubungo, (CHADEMA), Mhe. Saed Kubenea kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma leo Aprili 27, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) wakifurahia kuona medali ya dhahabu aliyoivaa Mwanaridha Alphonce Simbu  ambayo aliinyakuwa katika  mashindano ya Mumbai  Marathon nchini India na tuzo aliyoipata hivi karibuni baada ya kushika nafasi ya tano katika mashindano ya London Marathon. Waziri Mkuu alikutana na mwanariaha huyo kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mshindi wa Medali ya Dhahabu katika mbio za Mumbai za mwaka 2017 Alphonce Felix Simbu akiwaonyesha Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hawapo pichani)  medali na Tuzo aliyoshinda katika mbio hizo leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea Tuzo kutoka kwa Mshindi wa Medali ya Dhahabu katika mbio za Mumbai za mwaka 2017 Bw. Alphonce Felix Simbu katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma.Wengine pichani ni Mkuu wa Utawala na Mafunzo JKT Col.K.J.Mziray,Luteni Col.J.P Meidini,Mkuu wa Kambi JKT Makuyuni Meja Mvula na Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano Multichoice Tanzania, John Mshana

Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe akipokea Tuzo kutoka kwa Mshindi wa Medali ya Dhahabu katika mbio za Mumbai za mwaka 2017 Bw. Alphonce Felix Simbu katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma.Wengine pichani ni Mkuu wa Utawala na Mafunzo JKT Kanali  K.J.Mziray, Luteni Kanali.J.P Meidini, Mkuu wa Kambi JKT Makuyuni Meja Mvula na Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano Multichoice Tanzania, John Mshana.
(Picha na Daudi Manongi- MAELEZO)


Naibu Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Ajira Kazi na watu wenye Ulemavu  Mhe. Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson  akiongoza kikao cha kumi na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamadi Masauni akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  katika kikao cha kumi na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.

Naibu Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Nyonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  katika kikao cha kumi na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.

Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali (CHADEMA) akiuliza swali  katika kikao cha kumi na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe. Rita Kabati akiuliza swali  katika kikao cha kumi na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe. Martha Umbula akiuliza swali  katika kikao cha kumi na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.


Mbunge wa Kalenga (CCM) Mhe Mhe.Godfrey Mgimwa akiuliza swali  katika kikao cha kumi na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 27, 2017.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMA ALHAMISI APRILI 27, 2017
LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMA ALHAMISI APRILI 27, 2017
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYwX-rvL5keS_HZI2axHF3a-I1GZQxarZ3DCGh2c2oillnjZTC208iJEC7yWamnMGpPvMl3Q5RJOpK5XkfVDw1W-90dg3LYyPAOqKhScM61rTfOLyMuhOm95lDIJLaADihK09qXe_mFlQ/s640/PMO_4523.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYwX-rvL5keS_HZI2axHF3a-I1GZQxarZ3DCGh2c2oillnjZTC208iJEC7yWamnMGpPvMl3Q5RJOpK5XkfVDw1W-90dg3LYyPAOqKhScM61rTfOLyMuhOm95lDIJLaADihK09qXe_mFlQ/s72-c/PMO_4523.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/leo-katika-bunge-mjini-dodoma-alhamisi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/leo-katika-bunge-mjini-dodoma-alhamisi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy