KIPINDI CHA CLOUDS 360 CHARUKA MUBASHARA KUTOKA NGORONGORO

Eneo la Bonde la Olduvai Gorge, linalo aminika kuwa mwanadamu wa kwanza aliishi hapa. Kwa hivyo basi Tanzania ndio asili ya watu wote wali...

Eneo la Bonde la Olduvai Gorge, linalo aminika kuwa mwanadamu wa kwanza aliishi hapa. Kwa hivyo basi Tanzania ndio asili ya watu wote waliopo Mabara mengine?

Mtangazaji Sam Sasali akifungua kipindi katika eneo la Olduvai Gorge ,kipindi cha 360 kilichokuwa kikirushwa moja kwa moja kutoka Ngorongoro.
Gari maalumu la kurushia matangazo la kituo cha Clouds TV likiwa katka eneo la Bonde la Olduvai Gorge kwa ajili ya kurusha matangazo ya moja kwa moja .
Couples mbili ambao ni washindi wa safari ya kutembelea vivuto vya Utalii wakiwa katika pozi tofauti za picha katika eneo la Olduvai Gorge .
Washindi wa safari ya kutembelea vivutio vya utalii wakiwa katika picha ya pamoja na Mtangazaji wa kipindi cha Clouds 360 kilipokuwa kikirushwa moja kwa moja kutoka Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.
Mtangazaji wa kipindi cha Couds 360 ,Baby Kabaye akifanya mahojiano na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani wakati kipindi hicho kiliporushwa moja kwa moja kutoka Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.



Mtangazaji wa Sport 360 ,James Tupatupa akifanya mahojiano na moja ya washindi wa nafasi ya kutembelea vivutio vya utalii ,leo katika kipindi cha Clouds 360 kilichorushwa moja kwa moja kutoka Hifadhi ya Ngorongoro.
Mtangazaji wa kipindi cha Clouds 360 Sam Sasali (katikati) akizungumza na moja ya Couple ya washindi waliofanikiwa kupata nafasi ya kutembelea vivutio va utalii leo wakati wa kipindi hicho kiliporushwa moja kwa moja kutoka katika Bonde la Oduvai Gorge lililopo katika Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.

(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KIPINDI CHA CLOUDS 360 CHARUKA MUBASHARA KUTOKA NGORONGORO
KIPINDI CHA CLOUDS 360 CHARUKA MUBASHARA KUTOKA NGORONGORO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYLfcss8-p0d_8853SNEBvzenEuXSnUT1cpM-rqd3mckHQqwNbtD13fYEtVJDNv8elY8maUL9dW0llpkvkwVq6i4-wD7TGw5KC-2bWEb9D0YsLoW3g6TlAoQvCPC7KqPYschIC36tx461O/s640/_MG_4168.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYLfcss8-p0d_8853SNEBvzenEuXSnUT1cpM-rqd3mckHQqwNbtD13fYEtVJDNv8elY8maUL9dW0llpkvkwVq6i4-wD7TGw5KC-2bWEb9D0YsLoW3g6TlAoQvCPC7KqPYschIC36tx461O/s72-c/_MG_4168.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/kipindi-cha-clouds-360-charuka.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/kipindi-cha-clouds-360-charuka.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy