ELIMU YA KUNUNUA HISA YATOLEWA KWA CHAMA CHA MUUNGANO WA VYAMA VYA USHIRIKA (SACCOS) TANZANIA

 Wanachama wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania,Wakimsikiliza kwa makini  mkuu wa Kitengo cha wateja wakubwa wa ...


 Wanachama wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania,Wakimsikiliza kwa makini  mkuu wa Kitengo cha wateja wakubwa wa Orbit Security  ambao ni washauri wakuu wa  maswala ya uuzaji wa hisa za Vodacom Tanzania PLC, Godfrey Gabriel alipokuwa akitoa elimu juu ya ununuaji wa hisa za  kampuni hiyo jana Morogoro.
 Baadhi ya wanachama wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania, Wakisoma mkutasari wa matarajio wa hisa  za Vodacom Tanzania  PLC, Walipokuwa wakipatiwa elimu ya ununuaji hisa za kampuni hiyo na mawakala wa uwekezaji wa Orbit Security  ambao ni washauri wakuu wa maswala ya hisa za Vodacom Tanzania PLC  jana mkoani Morogoro.
 Mkuu wa Kitengo cha wateja wakubwa wa kampuni ya  uwakala wa uwezeshaji  ya Orbit Security ambao ni washauri wakuu wa  maswala ya uuzaji hisa za Vodacom Tanzania PLC  Godfrey Gabriel (kushoto) akimsikiliza  mmoja wa wanachama wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania, Gebha Nyoni  aliyekuwa akiuliza swali juu ya uuzaji wa hisa za Vodacom  baada ya kupata elimu  ya ununuaji wa hisa wakati wa   semina ya Utawala bora  kwa viongozi wa SACCOS  iliyofanyika mkoani Morogoro jana.
 Mmoja wa washiriki wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania  ,wakionyeshwa kipengele kilichopo katika mkutasari wa matarajio wa hisa  za Vodacom Tanzania  PLC na  Mkuu wa Kitengo cha wateja wakubwa wa kampuni ya  uwakala ya uwezeshaji  ya Orbit  Security ambao ni washauri wakuu wa  maswala ya uuzaji wa hisa za Vodacom Tanzania PLC, Godfrey Gabriel (kushoto)wakati wa kutoa elimu juu ya ununuaji wa hisa za  kampuni hiyo jana Morogoro.
 Baadhi ya wanachama wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania  ,wakisoma fomu za kununua  hisa  za  Vodacom Tanzania  PLC ,wakati walipokuwa wakipewa elimu juu ya ununuaji wa hisa za kampuni hiyo na   mawakala wa kampuni ya  uwekezaji ya Orbit  Security ambao ni washauri wakuu wa kampuni hiyo maswala ya hisa.
 
Mkurugenzi wa uendeshaji  wa kampuni ya uwakala ya  uwekezaji ya Orbit  Security  ambao ni washauri wakuu wa Vodacom Tanzania PLC  kuhusiana na maswala ya uuzaji hisa, Juventus Simon akiwaelekeza  wanachama wa Muungano wa Vyama vya Ushirika (SACCOS) Tanzania  jinsi ya kujaza fomu za kununua hisa za Vodacom wakati wa semina maalum ya kununua hisa za kampuni hiyo iliyofanyika jana Morogoro.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ELIMU YA KUNUNUA HISA YATOLEWA KWA CHAMA CHA MUUNGANO WA VYAMA VYA USHIRIKA (SACCOS) TANZANIA
ELIMU YA KUNUNUA HISA YATOLEWA KWA CHAMA CHA MUUNGANO WA VYAMA VYA USHIRIKA (SACCOS) TANZANIA
https://2.bp.blogspot.com/-YlWrOb0VMfw/WQMRM2_4xNI/AAAAAAAB024/cADY6Tnsyu4AXSMzhPaZU4jMx_hlgqAxQCLcB/s640/04%2BHISA.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-YlWrOb0VMfw/WQMRM2_4xNI/AAAAAAAB024/cADY6Tnsyu4AXSMzhPaZU4jMx_hlgqAxQCLcB/s72-c/04%2BHISA.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/elimu-ya-kununua-hisa-yatolewa-kwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/elimu-ya-kununua-hisa-yatolewa-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy