Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mhe. Selemani Jafo amewataka watumishi katika halmashauri zot...
Naibu
Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (Tamisemi), Mhe. Selemani Jafo amewataka watumishi katika halmashauri
zote nchini kuacha kufanya kazi kwa mazoea badala yake wawe wabunifu
katika kutatua changamoto zinazowakabili wananchi.
Katika
ziara yake mkoani Arusha katika halmashauri za Meru,Longido na Monduli
alisema serikali imeshatoa fedha za Mfuko wa Pamoja wa Afya(Basket
Fund) katika halmashauri hizo hivyo kukosekana kwa madawa na vifaa tiba
sio jambo linaloweza kuvumilika.
Alisema
miradi yote ambayo fedha zimeshaletwa na serikali kuu kwenye
halmashauri itekelezwe mara moja ili iweze kuwahudumia wananchi.
Naibu
Waziri Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (Tamisemi), Mhe. Selemani Jafo akizungumza jambo alipotembelea
eneo linapojengwa soko la kisasa la mifugo katika Kijiji cha Orendeke
Kata ya Namanga mkoa wa Arusha. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya
Longido, Godfrey Chongolo.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (Tamisemi), Mhe. Selemani Jafo akizungumza na wananchi wa Kata ya
Makuyuni wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha baada ya kukagua ujenzi wa
Kituo cha Afya, serikali imetenga kiasi cha Sh 700 milioni kwaajili ya
upanuzi wa Kituo cha Afya Mto wa Mbu.
Mkuu wa
wilaya ya Longido mkoa wa Arusha, Godfrey Chongolo akizungumza wakati wa
zira ya Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa (Tamisemi), Mhe. Selemani Jafo (kulia)anayesikiliza kwa makini na
kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa halamshauri ya Longido,Juma Mhina.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (Tamisemi), Mhe. Selemani Jafo (kushoto)akisalimiana na Mwenyekiti wa
Chama cha Walimu mkoa wa Arusha, Lootha Laizer.
Baadhi
ya Madiwani na watumishi wa halmashauri ya Longido wakimsikiliza Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (Tamisemi), Mhe. Suleiman Jaffo.
Baadhi
ya Madiwani na watumishi wa halmashauri ya Longido wakimsikiliza Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (Tamisemi), Mhe. Suleiman Jaffo.
Muuguzi
katika Kituo cha Afya cha Usa River,Emiliana Sulle (kushoto) na Mganga
Mkuu wa halmashauri ya wilaya ya Meru mkoa wa Arusha,Bonifas
Ukio (kulia) Mhe. Selemani Jafo kumpima uzito mtoto ili kujua maendeleo
yake.
Naibu
Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (Tamisemi) Mhe. Selemani Jafo (kulia) akiagana na Mbunge wa jimbo la
Monduli, Julius Kalanga baada ya kumaliza ziara yake mkoani Arusha.
COMMENTS