WAKANDARASI WAZAWA WAIOMBA SERIKALI KUWAPA KIPAUMBELE KATIKA MIRADI YA UJENZI

Na Eliphace Marwa, Dar es Salaam Chama cha Wakandarasi Tanzania kimeiomba Serikali kuwashirikisha katika zabuni za ujenzi wa mi...



Na Eliphace Marwa, Dar es Salaam

Chama cha Wakandarasi Tanzania kimeiomba Serikali kuwashirikisha katika zabuni za ujenzi wa miradi mbalimbali ya umma Wakandarasi wazawa.

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Mwenyekiti wa Chama hicho, Mhandisi Lawrence Mwakyambiki wakati mkutano na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa mipango mbalimbali ya Serikali katika sekta ya ujenzi hapa nchini.

Alisema kuwa wanaiomba Serikali ya Awamu ya Tano kuwashirikisha wakandarasi wa kitanzania, wakimemo wakandarasi wa madaraja yote ili waweze kujijengea kitaalamu katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi ikiwemo ujenzi wa majengo mbalimbali ya Serikali mkoani Dodoma.

Mhandisi Mwakyambiki aliongeza kua hatua hiyo itasaidia kuongeza ajira kwa vijana na Kampuni za kitanzania katika shughuli za ujenzi hapa nchini.

Aidha, Chama hiyo kimeipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuwa mstari wa mbele katika kutekeleza mikakati na kusimamia sekta ya ujenzi hapa nchini.

Aidha Mwakyambiki aliongeza kuwa kutokana na uamuzi wa Serikali ya Awamu ya Tano kuhamia Dodoma ni vema wakandarasi wa ndani wakapewa fursa ya kushiriki katika kandarasi mbalimbali ambazo serikali inatarajia kuzifanya huko Dodoma.

Kwa upande Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam Mhandisi John Bura alimshukuru Rais Magufuli na Serikali yake kwa kuitikia wito wa wakandarasi kwa kuwatengea miradi michache ambayo ilikwisha tangazwa.

Aliwataka wakandarasi kuunda umoja kwa ajili ya kuitekeleza kwa weledi ili kuongeza imani kwa Serikali. 
Mwenyekiti wa Chama Cha Wakandarasi Tanzania, Mhandisi Lawrence Mwakyambiki akisistiza jambo kwa waandishi wahabari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam kuhusu Serikali kuwapa kipaumbele wakandarasi wa ndani katika miradi ya ujenzi.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAKANDARASI WAZAWA WAIOMBA SERIKALI KUWAPA KIPAUMBELE KATIKA MIRADI YA UJENZI
WAKANDARASI WAZAWA WAIOMBA SERIKALI KUWAPA KIPAUMBELE KATIKA MIRADI YA UJENZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4ZtUkjwEsjKPxqVWykAwLE6sRpBDanbfaccd14Aas6aGyDTNWhR47GHTz8jilMRAoc8BUQghrhYh740FTb_Sz7wjlpdZUXY5B-_E_WF_ZQPoRJvzZskAK_UgtBEnOmYXdoYKmlc27d10/s640/CATA+01.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4ZtUkjwEsjKPxqVWykAwLE6sRpBDanbfaccd14Aas6aGyDTNWhR47GHTz8jilMRAoc8BUQghrhYh740FTb_Sz7wjlpdZUXY5B-_E_WF_ZQPoRJvzZskAK_UgtBEnOmYXdoYKmlc27d10/s72-c/CATA+01.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/wakandarasi-wazawa-waiomba-serikali.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/wakandarasi-wazawa-waiomba-serikali.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy