Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera na Katibu Tawala wa Mkoa huo , Elia...
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel
Bendera na Katibu Tawala wa Mkoa huo , Eliakim Maswi (kulia) wakati
aliposimama kwa muda mjini Babati akitoka Dodoma kwenda Arusha Disemba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Manyara
wakati aliposimama kwa muda mjini Babati akitoka Dodoma kwenda Arusha,
Disemba 2, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Babati,
Raymound Mushi wakati aliposimama kwa muda mjini Babati akitoka Dodoma
kwenda Arusha, Disemba 2, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa mkoa wa Manyara wakati
aliposimama kwa muda mjini Babati akitoka Dodoma kwenda Arusha
Disemba 1, 2016.
COMMENTS