MHE. MAJALIWA AMJULIA HALI BABA MZAZI WA WAZIRI MKUU MSTAAFU MZEE PINDA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo kati yake na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye hos...




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo kati yake na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye hospitali ya mkoa wa Dodoma ambako alikwenda kumjulia hali baba mzazi wa Mh. Pinda, Mzee Xavery Kayanza Pinda Novemba 22, 2016. Kulia ni Paroko wa Kanisa Kuu Katoliki la Dodoma, Padri Wisi Onesmo na wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana.
 
Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akiongozana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuelekea wodini wakati alipokwenda kwenye hospitali ya mkoa wa Dodoma kumjulia hali Mzee Xavery Kayanza Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu Novemba 22, 2016. Mzee Pinda amelazwa kwenye hospitali hiyo kwa matibabu.
 
 
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akiteta na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipokwenda kwenye hospitali ya mkoa wa Dodoma kumjulia hali Mzee Xavery Kayanza Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu Novemba 22, 2016. Mzee Pinda amelazwa kwenye hospitali hiyo kwa matibabu.
 
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipokwenda kwenye hospitali ya Mkoa wa Dodoma kumjulia hali baba mzazi wa Mh. Pinda, Mzee Xavery Kayanza Pinda Novemba 22, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MHE. MAJALIWA AMJULIA HALI BABA MZAZI WA WAZIRI MKUU MSTAAFU MZEE PINDA
MHE. MAJALIWA AMJULIA HALI BABA MZAZI WA WAZIRI MKUU MSTAAFU MZEE PINDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirgaAAm0a-LYw0QQ1oXm-x-8qw8vbgr0MeyVDBtg-7aGuaYFhCgIj9kpEJJLfUgM9DiynNQeJd9d8gouCktfVlWfPgfzK5Rb154X2P5GcKUj2ebO9E-ec857Ez5gPIvCvQimXOx5l9h5yO/s640/RG1A3636.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirgaAAm0a-LYw0QQ1oXm-x-8qw8vbgr0MeyVDBtg-7aGuaYFhCgIj9kpEJJLfUgM9DiynNQeJd9d8gouCktfVlWfPgfzK5Rb154X2P5GcKUj2ebO9E-ec857Ez5gPIvCvQimXOx5l9h5yO/s72-c/RG1A3636.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/mhe-majaliwa-amjulia-hali-baba-mzazi-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/mhe-majaliwa-amjulia-hali-baba-mzazi-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy