RAIS MAGUFULI "ATEMBELEA" KWENYE MANENO YAKE, NDEGE MPYA YA PILI YA SERIKALI YATUA NDANI YA MUDA ALIOAHIDI

RAIS wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania, Dkt. John PombeMagufuli, “ametembea’ kwenye maneno yake, aliyoyatoa mapema ...











RAIS wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania, Dkt. John PombeMagufuli, “ametembea’ kwenye maneno yake, aliyoyatoa mapema wakati akizindua Bunge la Tanzania kwamba ifikapo mwisho wa Septemba 2016, Serikali itaingiza nchini ndege mbilimpya, na leo ndege ya ya pili aina ya Bombadier Q400 imewasili nchini leo mchanaikitokea nchini Canada ilikoundwa.
Ndege ya kwanza iliwasili mapema wiki iliyopita na taarifa zinasema Jumatano Septemba 28, 2016, Rais Magufuli atazindua ndege hizo ili zianze kutoa huduma. Pichani ndege hizo zikiwa zimeegeshwa kwenye hanga la ndege za Kjeshi (Air Wings) Ukonga jijini Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)




Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikipata Saluti ya maji (Water Canon Salutation) mara tu baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.

 Ndege hiyo ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dares Salaam, Septemba 27, 2016

Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard, Chamriho  akisalimiana na rubani  John Kuipers aliyeeendesha Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) na kuiwasilisha salama katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.



Katibu Mkuu Uchukuzi, Dkt Leonard Chamriho na viongozi wengine wakielekea kwenye Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.

 Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard  Chamriho, akiikagua ndege hiyo kwa ndani

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MAGUFULI "ATEMBELEA" KWENYE MANENO YAKE, NDEGE MPYA YA PILI YA SERIKALI YATUA NDANI YA MUDA ALIOAHIDI
RAIS MAGUFULI "ATEMBELEA" KWENYE MANENO YAKE, NDEGE MPYA YA PILI YA SERIKALI YATUA NDANI YA MUDA ALIOAHIDI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhO8Pv9ZVG-87wQngRhKOhmQsWCScVLHDSTUiLFX4_3Bvelm26-ySmgBFHViE5I0kWFq-3XeHcJsowBITznlUUjUrgxCx_TFJeWghDvTJuK-rkshiqYLj-SaC0RaJLxCm_bhiXuwH6V2Cc/s640/n6.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhO8Pv9ZVG-87wQngRhKOhmQsWCScVLHDSTUiLFX4_3Bvelm26-ySmgBFHViE5I0kWFq-3XeHcJsowBITznlUUjUrgxCx_TFJeWghDvTJuK-rkshiqYLj-SaC0RaJLxCm_bhiXuwH6V2Cc/s72-c/n6.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/09/rais-magufuli-atembelea-kwenye-maneno.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/09/rais-magufuli-atembelea-kwenye-maneno.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy