JENGO LA HOSPITALI LENYE THAMANI YA BILIONI 8.8 KUJENGWA DAR ES SALAAM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda leo ameonyesha picha ya jengo kubwa la hospitali ya kinamama ambalo ujenzi wa...








Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda leo ameonyesha picha ya jengo kubwa la hospitali ya kinamama ambalo ujenzi wake tayari umeanza kwa msaada kutoka Serikali ya Korea Kusini na linatarajiwa kuzinduliwa na Rais Magufuli mwezi wa nne mwakani. Jengo hilo litakalogharimu jumla ya shilingi Bilioni 8 na milioni 800. Litakuwa na uwezo kulaza wakinamama (wagonjwa) 160 kwa wakati mmoja na litakuwa na chuo kwa ajili ya wanafunzi. Tayari Madaktari kutoka Korea wamesha anzaa kutoa mafunzo ya magonjwa ya kinamama.




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JENGO LA HOSPITALI LENYE THAMANI YA BILIONI 8.8 KUJENGWA DAR ES SALAAM
JENGO LA HOSPITALI LENYE THAMANI YA BILIONI 8.8 KUJENGWA DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH70IG25GsNaLx8PrIR4-LR1CRcn7BRgfcJp7jSDjCOLELh5IZCeKEgwsw8YHKhu71ri6dAZQTwHxKpghs8NbNWgR1JUNGgs35dfa-r7cnnpbx0u540hi7LM0QzzZgWNM_S1cVwhNNpJ0/s640/IMG_9958.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH70IG25GsNaLx8PrIR4-LR1CRcn7BRgfcJp7jSDjCOLELh5IZCeKEgwsw8YHKhu71ri6dAZQTwHxKpghs8NbNWgR1JUNGgs35dfa-r7cnnpbx0u540hi7LM0QzzZgWNM_S1cVwhNNpJ0/s72-c/IMG_9958.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/jengo-la-hospitali-lenye-thamani-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/jengo-la-hospitali-lenye-thamani-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy