UJERUMANI YAREJEA KWA KISHINDO KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM 2016

 Mwenyekiti wa Shrikisho la Wafanyabiashara wa  ya Viwanda na Kilimo wa Ujerumani na Tanzania, Dirk Smelty akiwa n...




 Mwenyekiti wa Shrikisho la Wafanyabiashara wa  ya Viwanda na Kilimo wa Ujerumani na Tanzania, Dirk Smelty akiwa na Naibu Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania,  John Reyels, akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda la Ujerumani lililoko kwenye jengo la ukumbi wa Karume kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere kunakofanyika maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Juni 30, 2016
 
 Mwenyekiti wa Shrikisho la Wafanyabiashara wa  ya Viwanda na Kilimo wa Ujerumani na Tanzania, Dirk Smelty, (kushoto)
 
 NA K-VIS MEDIA/KHALFAN SAID 
UJERUMANI imerejea kwa kishindo kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam 2016 baada ya kukaa kando na maonyesho hayo kwa takriban miaka 20.

Makampuni manane ya Kijerumani yameweka kambi kuonyesha bidhaa zake pale viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda la Ujerumani lililoko kwenye jingo la Karume mita chache baada ya kuingia lango kuu la viwanja hivyo mapema leo Juni 30, 2016, Naibu Balozi wa Ujerumani nchini, John Reyels amesema, Tanzania ni nchi inayokua kwa kasi kiouchumi ni inategemewa kuwa kitovu cha uchumi wa Afrika Mashariki, hivyo Ujerumani inayofuraha kuwakaribisha Watanzania kujionea bidhaa zake mbalimbali na zilizo bora kutoka jumla ya makampuni manane ya Kijerumani ambayo ni pamoja na Kampuni ya Acheli (Tanganyika) Limited ambayo inajishughulisha na utengenezaji na usambazaji wa vifaa vya ujenzi, vifaa vya maabara na tiba, mafuta na gesi pamoja na uchapishaji.
Ametaja kampouni nyingine kuwa ni pamoja na Acto GmbH, Renner GmbH Kompressoren, Mabisol GmbH, Riel Karl-Heinz Knoop e.K , SUNSET Energietechnik GmbH. Tupopamoja Holding AG na Twiga Cement Co Limited.
Maonyesho hayo ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayotayarishwa na Mamlaka ya Uendelezaji Biashara Tanzania, TANTRADE, yanatarajiwa kufunguliwa rasmi Ijumaa Julai 1, 2016 na Rais wa Rwanda Paul Kagame majira ya alasiri.
Naibu Balozi wa Ujerumani nchini, John Reyels

 Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Kijerumani ya SUNSET Solar, Dkt.Olaf W. Fleck (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano huo, Kulia ni msaidizi mtendaji wa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mobisol, Leslie Otto.
 

 Msaidizi mtendaji wa Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Kijerumani ya Mobisol, Leslie Otto, (kulia) akizungumza. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Kijerumani ya SUNSET Solar, Dkt.Olaf W. Fleck
 Mkurugenzi mkazi wa Mobisol, Livinus Manyanga, akitoa ufafanuzi juu ya bidhaa za kampuni hiyo yenye makazi yake jijini Arusha
 Nfally Jarju, kutoka kampuni ya Renner Kompressoren ya Ujerumani akizungumzia bidhaa zinazozalishwa na kampuni hiyo

 Waandhi wa habari.
 
Afisa habari wa Ubalozi wa Ujerumani nchini, John Merikion, akizungumza jambo na mwandishi wa East Africa TV (C5), wakati wa maswali ya waandishi wa habari.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UJERUMANI YAREJEA KWA KISHINDO KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM 2016
UJERUMANI YAREJEA KWA KISHINDO KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM 2016
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiuz6Cz_x6HMVoqBZYms1fIGCg93eGMuql3Yke1tIejAbDxZg46TP5YHPkLQcJ7PXhTYZZq-yeO-5yX2V3v7N30VA0CqgDZBR_yF-8piN0K_Z9Gka8rq5notYT_dlpxAWD6rQuBN2D4dUA/s640/b3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiuz6Cz_x6HMVoqBZYms1fIGCg93eGMuql3Yke1tIejAbDxZg46TP5YHPkLQcJ7PXhTYZZq-yeO-5yX2V3v7N30VA0CqgDZBR_yF-8piN0K_Z9Gka8rq5notYT_dlpxAWD6rQuBN2D4dUA/s72-c/b3.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/06/ujerumani-yarejea-kwa-kishindo-kwenye.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/06/ujerumani-yarejea-kwa-kishindo-kwenye.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy