RC SHIGELLA AWATAKA WENYEVITI WA MITAA KUSIMAMIA KWA UMAKINI SHUGHULI ZA MAENDELEO KWENYE MAENEO YAO

  Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh Martini Shigella akizungumza na wenyeviti wa mitaa kuhusu kujadili masuala mbalimbali ya kimaendele...





 Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh Martini Shigella akizungumza na wenyeviti wa mitaa kuhusu kujadili masuala mbalimbali ya kimaendeleo katika Jiji la Tanga,kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Ahmed na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga, Alhaj Abdulla Lutavi.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Ahmed akizungumza katika kikao hicho kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella na kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Tanga,Lucia Mwiru na anayefuata ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Daudi Mayeji


Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga, Mustapa Selebosi akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa BMK Sahare Jijini Tanga
Baadhi ya wenyeviti wa Mitaa mbalimbali Jijini Tanga wakiwa ukumbini tayari kumsikiliza RC Shigella


Kulia ni Msaidizi wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Amiri Mkapanga akifuatilia kwa umakini maelekezo wa RC Shigella kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kwenye Jiji la Tanga.






(Picha kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha).

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RC SHIGELLA AWATAKA WENYEVITI WA MITAA KUSIMAMIA KWA UMAKINI SHUGHULI ZA MAENDELEO KWENYE MAENEO YAO
RC SHIGELLA AWATAKA WENYEVITI WA MITAA KUSIMAMIA KWA UMAKINI SHUGHULI ZA MAENDELEO KWENYE MAENEO YAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghfyjaTHawgUoi-foqn0o1OYvzTv0DG6wu0vt0G9-GUQY1cvDPW-d750cGycF_BJBqmv-_SgwVX8omePsBzzBAojFYkxqZK_nZErNIZoupVoC_vO-L1JFCowKfECM4eR6qXT84lEZ8C4TS/s640/IMG_0422.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghfyjaTHawgUoi-foqn0o1OYvzTv0DG6wu0vt0G9-GUQY1cvDPW-d750cGycF_BJBqmv-_SgwVX8omePsBzzBAojFYkxqZK_nZErNIZoupVoC_vO-L1JFCowKfECM4eR6qXT84lEZ8C4TS/s72-c/IMG_0422.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/05/rc-shigella-awataka-wenyeviti-wa-mitaa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/05/rc-shigella-awataka-wenyeviti-wa-mitaa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy