Jaji Mkuu wa EJAT 2015, Bi Valeria Msoka akionge kuwakaribisha wageni katika hafla hiyo. Baadhi ya majaji wa EJAT 2015 ...
|
Jaji Mkuu wa EJAT 2015, Bi Valeria Msoka akionge kuwakaribisha wageni katika hafla hiyo. |
|
Baadhi ya majaji wa EJAT 2015 |
|
Wanne Star wakifanya yao katika hafla hiyo. |
|
Meza kuu. |
|
Majaji wa EJAT 2015 wakitambulishwa. |
|
Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Kajubi Mukajanga (kulia) akimtambulisha mgeni Rasmi, Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Bahame Tom Nyanduga katika hafla hiyo. |
|
Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Kajubi Mukajanga akimtambulisha mgeni Rasmi, Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Bahame Tom Nyanduga katika hafla hiyo. |
|
|
|
Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Kajubi Mukajanga na mgeni Rasmi Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Bahame Tom Nyanduga wakiwa katika picha ya pamoja baada ya utambulisho katika hafla hiyo. |
|
Washereheshaji Babie Kabae na Taji Liundi wakiwa katika hafla hiyo. |
|
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Bahame Tom Nyanduga akiongea katika hafla hiyo. |
|
Mwakilishi wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika akimkabidhi moja wa washindi wa tuzo kutoka Zanzibar. |
|
Mmoja wa majaji, Dkt Joyce Bazira Ntobi akimkabidhi mmoja wa washindi wa tuzo. |
|
Mwakilishi wa Kampuni ya Push Observer Jacqueline Materu akimkabidhi tuzo Mpigapicha Msaidizi wa Magazeti ya Dailynews, HabariLeo, Spotileo na HabariLeo Jumapili, Robert Okanda baada ya kuibuka mshindi wa Tuzo ya Mpiga picha Bora Magazeti mteule kwa magazeti wakati wa utoaji wa tuzo za Umahiri katika uandishi wa habari zilizoandaliwa na Baraza Habari Nchini (MCT) jijini Dar es Salaam |
|
Mpigapicha Msaidizi wa Magazeti ya Dailynews, HabariLeo, Spotileo na HabariLeo Jumapili, Robert Okanda, pia mmiliki wa blogs hii akiwa na tuzo ya ushindi wa Mpiga picha Bora wa Magazeti mteule wakati wa utoaji wa tuzo za Umahiri katika uandishi wa habari zilizoandaliwa na Baraza Habari Nchini (MCT) jijini Dar es Salaam |
|
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Bahame Tom Nyanduga akimkabidhi mshindi wa jumla wa tuzo hizo mfano wa hundi ya shilingi milioni tatu wakati wa utoaji wa tuzo za Umahiri katika uandishi wa habari zilizoandaliwa na Baraza Habari Nchini (MCT) jijini Dar es Salaam Aprili 29 2016. Kulia ni Rais MCT Jaji Mstaafu Thomas Mihayo. |
|
Bi Rose Haji Mwalimu akibubujikwa na machozi wakati wa kushomwa kwa historia yake ya utumishi katika tasnia ya habari uliosababisha kutambuliwa na kutunukiwa tuzo ya maisha ya mafanikio katika tasnia wakati wa utoaji wa tuzo hizo. |
|
Bi Rose Haji Mwalimu akiakisaidiwa na Mmoja wa waasisi wa TAMWA na Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Bi Badra Masoud (kushoto) baada ya kutangazwa ndiye mteule wa Tuzo ya Maisha katika tasnia ya habari uliosababisha kutambuliwa na kutunukiwa tuzo ya maisha ya mafanikio katika tasnia wakati wa utoaji wa tuzo hizo. |
|
Bi Rose Haji Mwalimu akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi baada ya kutwaa tuzo ya maisha ya mafanikio katika tasnia wakati wa utoaji wa tuzo hizo. |
|
Bi Rose Haji Mwalimu akiongea kumshukuru Mungu na waandaji kwa kumtambua na kumtunuku tuzo hiyo ya heshima kubwa kwa mafanikio katika katika hafla hiyo. |
|
Mgeni rasmi na meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja na washindhi wa tuzo hizo. |
|
Mpigapicha
Msaidizi wa Magazeti ya Dailynews, HabariLeo, Spotileo na HabariLeo
Jumapili, Robert Okanda, pia mmiliki wa Blogs hii akiwa katika picha ya pamoja na Bi Rose
Haji Mwalimu mteule wa Tuzo ya Maisha ya Mafanikio katika Tasnia ya Habari wakati wa utoaji wa tuzo za Umahiri
katika uandishi wa habari zilizoandaliwa na Baraza Habari Nchini (MCT)
jijini Dar es Salaam. |
COMMENTS