RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAZEE WA DAR ES SALAAM LEO

Mmoja wa Wazee wa Dar es Salaam akionyesha hisia zake baada ya kuguswa na hotuba ya Rais John Magufuli wakati alipofanya mazun...

Mmoja wa Wazee wa Dar es Salaam akionyesha hisia zake baada ya kuguswa na hotuba ya Rais John Magufuli wakati alipofanya mazungumzo nao jijini Dar es Salaam leo.
Sehemu ya Wazee wa Dar es Salaam wakimsikiliza Rais John Magufuli wakati alipofanya mazungumzo nao jijini Dar es Salaam leo.

Rais John Magufuli akizungumza na Wazee wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini leo.

Baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini wakifuatilia hotuba ya Rais Magufuli.

Baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini wakifuatilia hotuba ya Rais Magufuli.

Baadhi ya mawaziri na wageni maalum wakifuatilia hotuba ya Rais Magufuli.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu (kulia), Mke wa Rais Mama Janet Magufuli na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida wakifuatilia hotuba ya Rais Magufuli kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam Februari 13, 2016.

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akiwasalimia Wazee wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini wakati Rais John Magufuli alipozungumza nao Februari 13, 2016.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu, akiwasalamia wazee wa Dar es Salaam wakati Rais John Magufuli alipoalikwa kwa mazungumzo nao kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam Februari 13, 2016.

Sehemu ya Wazee wa Dar es Salaam wakimsikiliza Rais John Magufuli wakati alipofanya mazungumzo nao jijini Dar es Salaam leo.

Sehemu ya Wazee wa Dar es Salaam wakimsikiliza Rais John Magufuli wakati alipofanya mazungumzo nao jijini Dar es Salaam leo.

Sehemu ya Wazee wa Dar es Salaam wakimsikiliza Rais John Magufuli wakati alipofanya mazungumzo nao jijini Dar es Salaam leo.

Sehemu ya Wazee wa Dar es Salaam wakimmpongeza Rais John Magufuli kwa hotuba nzuri wakati alipofanya mazungumzo nao jijini Dar es Salaam leo.

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akifuatilia hotuba ya Rais Magufuli.

Mmoja wa Wazee wa Dar es Salaam akionyesha hisia zake baada ya kuguswa na hotuba ya Rais John Magufuli wakati alipofanya mazungumzo nao jijini Dar es Salaam leo.

Mmoja wa Wazee wa Dar es Salaam akionyesha hisia zake baada ya kuguswa na hotuba ya Rais John Magufuli wakati alipofanya mazungumzo nao jijini Dar es Salaam leo.

Rais John Magufuli akipongezwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kutoa hotuba maridhawa katika Mkutano kati yake na wazee wa Dar es
Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini. Wa pili (kushoto) ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Hassan Suluhu na Mke wa Rais Mama Janet Magufuli.

Rais Magufuli akisalimiana na Mawaziri walihohudhuria mazungunzo na Wazee wa Dar es Salaam leo.

Rais Magufuli akisalimia na aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee wa Dar es Salaam Iddi Simba.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akiangana na Makamu wa Rais, Mhe Samia Hassan Suluhu baada ya Mhe. Rais Magufuli kuondoka alipofanya mazungumzo na Wazee wa jijini hilo katika ukumbi wa Diamond Jubilee leo. Wa tatu (kushoto) ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Dar, Ramadhan Madabida (wa nnea kushoto) Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (wa pili kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akigonga na Mwenyekiti wa Wazee wa jijini hilo, Hemed Mkali baada ya Rais kumaliza mkutano nao katika ukumbi wa Diamond Juibilee leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Dar, Ramadhan Madabida na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAZEE WA DAR ES SALAAM LEO
RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAZEE WA DAR ES SALAAM LEO
https://1.bp.blogspot.com/-FrdkiehSymw/Vr9duiot4PI/AAAAAAAA1PA/p2HNVvjw_kU/s640/IMG_8857.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-FrdkiehSymw/Vr9duiot4PI/AAAAAAAA1PA/p2HNVvjw_kU/s72-c/IMG_8857.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/02/rais-magufuli-azungumza-na-wazee-wa-dar.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/02/rais-magufuli-azungumza-na-wazee-wa-dar.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy