KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI PROF. ELISANTE AFUNGUA MAONYESHO YA UCHORAJI YA UTAMADUNI WA ITALIA

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) pamoja na Balozi wa Italia, Mh...






Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) pamoja na Balozi wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.
 
 


Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akiwahutubia wageni waalikwa wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam. 
 
 


Balozi wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni (kulia) akiwahutubia wageni waalikwa wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam. 
 
 
 

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) pamoja na Balozi wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni wakijadiliana jambo mara baada ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam. 
 
 
 
 

Baadhi ya wageni waalikwa pamoja na watendajji wa Serikali wakifuatilia hotuba za Viongozi wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam. 
 
 
 
 

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof Elisante Ole Gabriel (kulia) akiangalia michoro mbalimbali ya picha za kiutamaduni wa Italia baada ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Benedict Liwenga-WHUSM)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI PROF. ELISANTE AFUNGUA MAONYESHO YA UCHORAJI YA UTAMADUNI WA ITALIA
KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI PROF. ELISANTE AFUNGUA MAONYESHO YA UCHORAJI YA UTAMADUNI WA ITALIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwgmmdBftPCFHsA_JdoP38cnloqmEclfnzy97yjIRaqAhBXuMKJWg4l649vwI2nAF8IpGe0sQwyaef_-2qMxfkd4W9xNZffxrEP_6NN3ajYCy-NppgydaSzZ0fwOAXILgy3p0qeB9bcH6V/s640/PICHA+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwgmmdBftPCFHsA_JdoP38cnloqmEclfnzy97yjIRaqAhBXuMKJWg4l649vwI2nAF8IpGe0sQwyaef_-2qMxfkd4W9xNZffxrEP_6NN3ajYCy-NppgydaSzZ0fwOAXILgy3p0qeB9bcH6V/s72-c/PICHA+1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/katibu-mkuu-wizara-ya-habari-prof.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/katibu-mkuu-wizara-ya-habari-prof.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy