MABONDIA MADA MAUGO NA ABDALLAH PAZI KUONESHANA UBABE UWANJA WA NDANI WA TAIFA SIKU YA PASAKA

Mabondia Mada Maugo (kushoto) na Abdallah Pazi wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga siku ya sikuku...









Mabondia Mada Maugo (kushoto) na Abdallah Pazi wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga siku ya sikukuu ya pasaka katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa Dar es Salaam katikati ni mratibu wa mpambano uko kochwa wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' .  
Mratibu wa mpambano wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na mabondia Mada Maugo (kushoto) na Abdallah Pazi wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka utakaofanyika  uwanja wa ndani wa Taifa. 
Bondia Mada Maugo akikabiziwa mkataba wake na mratibu wa mapambano wa masumbwi  Rajabu Mhamila 'Super D' kati yake na Abdallah Pazi mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka  katika uwanja wa ndani wa Taifa.

Bondia Abdallah Pazi (kushoto) akipokea sehemu ya fedha yake kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Mada Maugo utakaofanyika uwanja wa ndani wa taifa anaetoa fedha hizo ni mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D'.




Bondia Abdallah Pazi (kushoto) akipokea mkataba wake kutoka kwa mratibu wa mpambano huo  Rajabu Mhamila 'Super D'  baada ya kusaini kwa ajili ya kupigana na Mada Maugo siku ya sikukuu ya Pasaka katika uwanja wa ndani wa taifa.

Bondia Mada Maugo (kushoto) akipokea sehemu ya malipo ya awali kutoka kwa mratibu  Rajabu Mhamila 'Super D' wa mpambano wake na Abdallaha Pazi. Utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka (Picha na SUPER D BOXING NEWS)

Na Mwandishi Wetu

Mabondia Mada Maugo na Abdalla Pazi 'Dulla Mbabe' wamesaini mkataba wa kuzipiga siku ya sikukuu ya pasaka katika uwanja wa ndani wa   taifa mpambano wa raundi nane KG 76.

Akizungumza wakati wa kutiliana saini mikataba hiyo kocha wa mchezo wa masumbwi nchini ambaye ni mratibu wa mpambano huo amesema kuwa amewasainisha mabondia hawo ambao wanatamba katika tasnia ya masumbwi nchini ili wapenzi wa mchezo wa masubwi waburudike siku hiyo ya sikukuu ya pasaka
mbali na mpambano uho siku hiyo bondia chipkizi anaekuja kwa kasi zaidi katika mchezo wa masumbwi Vicent Mbilinyi anaetokea katika Super D Boxing Promotion atakae pambana na Mwinyi Mzengela mpambano wa KG 63 raundi nane mpambano mwingine utawakutanisha bondia Cosmas Cheka na Mohamed Matumla na Pius Kazaula atakumbana na Seba Temba

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MABONDIA MADA MAUGO NA ABDALLAH PAZI KUONESHANA UBABE UWANJA WA NDANI WA TAIFA SIKU YA PASAKA
MABONDIA MADA MAUGO NA ABDALLAH PAZI KUONESHANA UBABE UWANJA WA NDANI WA TAIFA SIKU YA PASAKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaXohOc9B0Fu4l2lm-lhC1baF26lPiw_Pzln2X1PJW73tPSh9T2P7kC9I42fpRudsI5fpHB53StgKtpmA_MTBWfGMrak3OG38F6G5EYOSxKevPJwlyNJm5MYVl5F9UfPS9qcCPN6wKvqIg/s640/DSC_0644.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaXohOc9B0Fu4l2lm-lhC1baF26lPiw_Pzln2X1PJW73tPSh9T2P7kC9I42fpRudsI5fpHB53StgKtpmA_MTBWfGMrak3OG38F6G5EYOSxKevPJwlyNJm5MYVl5F9UfPS9qcCPN6wKvqIg/s72-c/DSC_0644.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/02/mabondia-mada-maugo-na-abdallah-pazi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/02/mabondia-mada-maugo-na-abdallah-pazi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy