WAFANYAKAZI WA TBL GROUP WASHIRIKI MATEMBEZI YA KUCHANGIA UNUNUZI WA MADAWATI

Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiongoza matembezi hayo yaliyoandaliwa kwa ajili ya kununua madawati. Kulia kwake ni Mweny...





Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiongoza matembezi hayo yaliyoandaliwa kwa ajili ya kununua madawati. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Hassan Maajar Trust (HMT), Balozi Mwanaidi Maajar, Mke wa Jaji Mkuu, Mama Saada Othman Chande (wa pili kulia)
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TBL Group  wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Rais mstaafu wa Tanzania Mh. Ali Hassan Mwinyi , baada ya kumalizika kwa matembezi ya hisani yalioandaliwa na Taasisi ya Hassan Maajar Trust (HMT) kwa ajili ya kuchangisha fedha za kununulia madawati kwa wanafunzi wa shule za msingi Maji Matitu iliyopo Mbagala wilayani Temeke Jumamosi. Taasis na makampuni mbambali ya hapa nchini yalishiriki matembezi hayo.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL group ambayo kwa hapa nchini inamiliki  kampuni ya bia Tanzania (TBL) , Kampuni ya Konyagi na kampuni ya Chibuku wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa matembezi ya hisani yalioandaliwa na taasisi ya Hassan Maajar Trust kwa ajili ya kuchangisha fedha za kununulia madawati kwa wanafunzi wa shule za msingi Maji Matitu iliyopo Mbagala wilayani Temeke.Matembezi hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kushirikisha taasisi na makampuni mbalimbali ya hapa nchini
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL group ambayo kwa hapa nchini inamiliki  kampuni ya bia Tanzania (TBL) , Kampuni ya Konyagi na kampuni ya Chibuku wakiwa katika picha ya pamoja muda kabla ya kuanza kwa matembezi ya hisani yalioandaliwa na taasisi ya Hassan Maajar Trust kwa ajili ya kuchangisha fedha za kununulia madawati kwa wanafunzi wa shule za msingi Maji Matitu iliyopo Mbagala wilayani Temeke.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAFANYAKAZI WA TBL GROUP WASHIRIKI MATEMBEZI YA KUCHANGIA UNUNUZI WA MADAWATI
WAFANYAKAZI WA TBL GROUP WASHIRIKI MATEMBEZI YA KUCHANGIA UNUNUZI WA MADAWATI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvKpZdTrRY9OXKrnFCBlsojUkEzhATdI-MYcdgM2hVUEaTzGJWc6QDyGB_4ZogxnkBCB_iVDL2YRZXgtxcpaMdXS9TELXouf4V0oLxscZxqNqCp68ditdF_B3J75-5Rj8woNSmXk29EHQ/s640/tbl+pix+5.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvKpZdTrRY9OXKrnFCBlsojUkEzhATdI-MYcdgM2hVUEaTzGJWc6QDyGB_4ZogxnkBCB_iVDL2YRZXgtxcpaMdXS9TELXouf4V0oLxscZxqNqCp68ditdF_B3J75-5Rj8woNSmXk29EHQ/s72-c/tbl+pix+5.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/wafanyakazi-wa-tbl-group-washiriki.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/wafanyakazi-wa-tbl-group-washiriki.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy