MAHAFALI YA TISA YA CHUO KIKUU CHA TUMAINI DAR (TUDARCo) YAFANA LEO

Sehemu ya wahitimu 38 wa shahada ya Sanaa ya Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) wakifuatilia matukio wak...







Sehemu ya wahitimu 38 wa shahada ya Sanaa ya Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) wakifuatilia matukio wakati wa mahafali ya Tisa ya Chuo Kikuu cha Tumaini  Dar es Salaam (TUDARCo) yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kutoka (kushoto) ni Gladness Mbise, Margreth Itala na Janeth Mtui.


Sehemu ya wahitimu 38 wa shahada ya Sanaa ya Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) na wageni wakifuatilia matukio wakati wa mahafali ya Tisa ya Chuo Kikuu cha Tumaini  Dar es Salaam (TUDARCo) yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kutoka (kushoto) ni Gladness Mbise, Margreth Itala na Janeth Mtui.




Mkuu wa Chuo Kikuu (Chancellor), Tumaini Makumira Askofu Dkt. Alex Malasusa, Mkuu wa Chuo (TUDARCo), Prof. Uswege Minga (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu, Tumaini Makumira, Prof. Esther Mwaikambo wakiimba wimbo wa taifa wakati wa kuhitimisha mahafali hayo.

Wageni Maarufu katika hafla hiyo, aliyekuwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt Fenella Mukangara (wa pili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Abbas Kandoro (kushoto) na Mkuu wa TUDARCo, wa zamani Prof. Geoffrey Mmary pamoja wageni mashuhuri wengine wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa kufunga mahafali hayo.

Sehemu ya wahitimu 37 wa shahada ya Uzamili ya Uongozi na Biashara (Master of Business Administration) wakifuatilia matukio wakati wa mahafali ya  Tisa ya Chuo Kikuu cha Tumaini  Dar es Salaam (TUDARCo) yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Chuo Kikuu (Chancellor), Tumaini Makumira, Askofu Dkt. Alex Malasusa.

Aliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia chama cha CUF, Julius Mtatiro akiwa miongoni mwa wahitimu wa mahafali hayo alipotunukiwa Shahada ya Sheria leo


Mkuu wa Chuo Kikuu (Chancellor), Tumaini Makumira, A Dativa Kway akipongezwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Tumaini Makumira, Prof. Esther Mwaikambo baada ya kusoma risala kwa niaba ya wahitimu wenzake wakati wa Mahafali ya Tisa ya chuo hicho jijini Dar es Salaam leo. 

Mfanyakazi wa Kampuni ya Tanzania Standard (Newspapers) Limited (TSN), Anitha Kalisti Shayo (wa pili kulia) pamoja na wahitimu wenzake wa Shahada ya Uendshaji Biashara (Bachelor of  Business Administration) wakifuatilia matukio katika mahafali hayo.





Mwanafunzi bora wa Jumla wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo), Dativa Kway akipongezwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Tumaini Makumira, Prof. Esther Mwaikambo baada ya kusoma risala kwa niaba ya wahitimu wenzake wakati wa Mahafali ya Tisa ya chuo hicho jijini Dar es Salaam leo. 



Mwanafunzi bora wa Kike na wa Jumla wa TUDARCo, Dativa Evord Kway akienda kusoma risala kwa niaba ya wanafunzi wanzake wakati wa mahafali hayo.



Sehemu ya wahitimu 38 wa shahada ya Sanaa ya Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) Cynthia Buhama (kushoto) na Dorcas Raymos Kyara wakifuatilia matukio wakati wa mahafali ya Tisa ya Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo) yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Mwanafunzi bora wa Kike na wa Jumla wa TUDARCo, Dativa Evord Kway pamoja na wahitimu wenzake wa shahada ya Rasilimali Watu (Bachelor of Human Resource Management) wakifuatilia matukio katika mahafali hayo leo. 



Naibu Mkuu wa Chuo Taaluma Prof. Godwill Mrema (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Chuo (TUDARCo), Prof. Uswege Minga wakati wa mahafali hayo. Kutoka (kulia) ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu, Tumaini Makumira, Prof. Esther Mwaikambo, Mkuu wa Chuo Kikuu (Chancellor), Tumaini Makumira Askofu Dkt. Alex Malasusa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu, Tumaini Makumira, Mch. Prof. Joseph Parsalaw.   

Mkuu wa Chuo Kikuu (Chancellor), Tumaini Makumira, Askofu Dkt. Alex Malasusa, viongozi wa chuo cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo) wakiwa pamoja na wanafunzi bora katika mahafali hayo.  

 Mhitimu ni Gladness Mbise (kati) na Joseph Mwendapole (kushoto) wakifuatilia matukio katika mahafali hayo.

Sehemu ya wahitimu 37 wa shahada ya Uzamili ya Uongozi na Biashara (Master of Business Administration) wakifuatilia matukio wakati wa mahafali ya  Tisa ya Chuo Kikuu cha Tumaini  Dar es Salaam (TUDARCo) yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Mhitimu bora wa shahada ya Uzamili ya Uongozi na Biashara (Master of Business Administration), Anna Shekihiyo (wa pili kushoto) pamoja wahitimu wenzake  wakifuatilia matukio wakati wa mahafali ya Tisa ya Chuo Kikuu cha Tumaini  Dar es Salaam (TUDARCo) yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.













Mhitimu wa shahada ya Uzamili ya Uongozi na Biashara (Master of Business Administration), Jerry Muro akitunukiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu (Chancellor), Tumaini Makumira, Askofu Dkt. Alex Malasusa leo.



COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAHAFALI YA TISA YA CHUO KIKUU CHA TUMAINI DAR (TUDARCo) YAFANA LEO
MAHAFALI YA TISA YA CHUO KIKUU CHA TUMAINI DAR (TUDARCo) YAFANA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgYFsFXcKwWGhjWxMqWw3IXisKPX2I0bnPK_i-jizgi6uA4f3MR1D-GPFYNSqE7j7Syaajvrmxt4FEjDykr3G1glnV-87SjM5k8UbzhAkaUneMbGlK4ranlFcrcNr7z4pA_9YDcSin4J3D_/s640/WETU.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgYFsFXcKwWGhjWxMqWw3IXisKPX2I0bnPK_i-jizgi6uA4f3MR1D-GPFYNSqE7j7Syaajvrmxt4FEjDykr3G1glnV-87SjM5k8UbzhAkaUneMbGlK4ranlFcrcNr7z4pA_9YDcSin4J3D_/s72-c/WETU.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/mahafali-ya-tisa-ya-chuo-kikuu-cha.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/mahafali-ya-tisa-ya-chuo-kikuu-cha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy