LOWASSA ALIVYOFUNIKA NYUMBANI KWA DKT SLAA KARATU

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ...







Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo Oktoba 9, 2015.
Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngomale Mwiru, akisisitiza jambo katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo Oktoba 9, 2015.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo Oktoba 9, 2015.
Sehemu ya wananchi wa Mji wa Karatu, wakifatilia kwa makini hotuba ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo Oktoba 9, 2015. (Picha na Othman Michuzi)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: LOWASSA ALIVYOFUNIKA NYUMBANI KWA DKT SLAA KARATU
LOWASSA ALIVYOFUNIKA NYUMBANI KWA DKT SLAA KARATU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKGDvQgd6pFlDB_Rwzr7F2IGOIfhpPaGzNruFItrg5wOWTJ8-KM64iGROJmyqk-EGI7FiLivWwv2BuY29mC9XtYVCT0n3-6KF_8wkHxoPSFH-LTw-TnJCgQawuu0fqhSFhyphenhyphenNycursoPsw/s640/OTH_6374.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKGDvQgd6pFlDB_Rwzr7F2IGOIfhpPaGzNruFItrg5wOWTJ8-KM64iGROJmyqk-EGI7FiLivWwv2BuY29mC9XtYVCT0n3-6KF_8wkHxoPSFH-LTw-TnJCgQawuu0fqhSFhyphenhyphenNycursoPsw/s72-c/OTH_6374.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/lowassa-alivyofunika-nyumbani-kwa-dkt.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/lowassa-alivyofunika-nyumbani-kwa-dkt.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy