KAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA

Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phantom 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliof...







Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phantom 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.



 
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi huo.
 Uzinduzi wa simu hiyo toleo jipya ukiendelea.


 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana  (kulia), akiwagawia zawadi ya simu hiyo baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali.
 Wanahabari wakipokea zawadi ya simu hiyo ya kisasa toleo jiopya.
Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana  (kulia), akimpatia zawadi ya simu hiyo mwandishi wa Gazeti la Habarileo, Katuma Masamba baada ya kuwa mmoja wa waandishi waliouliza maswali katika uzinduzi huo.
Na Dotto Mwaibale

MAKAMPUNI yanayozalisha Simu nchini yameshauriwa kuhakikisha wanakuwa wabunifu katika kusanifu na kulizasha simu bora ili kwenda sambamba na soko la dunia.

Wito huo umetolewa na Meneja mauzo wa simu za Tecno, Fred Kadilana wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu ya Phantom 5 uliofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Kadilana alisema soko la bidhaa zao linakuwa kwa kasi hususan barani Afrika hivyo wanafanya jitihada kuhakikisha wanakwenda sambamba na soko la dunia.

"Soko la dunia linakuwa kwa kasi na hata bidhaa zetu pia hivyo tunajitahidi kila kukicha kwenda sambamba na ukuaji wa mahitaji ya wananchi," alisema Kadilana.

Kwa upande wake, mkurugenzi wa kampuni hiyo, Daniel Xu alisema falsafa ya kutengeneza simu bora ni kulenga mahitaji ya soko la dunia.

Alisema simu ya Phanthom 5 ni toleo linalowapa wateja usanifu wa kipekee wenye uwezo 32GB katika uhifadhi wa taarifa na pia 3 GB katika mfumo wa kusoma na kuperuzi katika simu kwa haraka zaidi.

"Simu hii ina uwezo wa 300m Ah katika betri lake hivyo kuondoa usumbufu wa kuchaji simu mara kwa mara," alisema Xu.

Xu alisema kutokana na changamoto za kidunia simu hiyo ina uwezo wa kufurahia mawasiliano katika mazingirq mbalimbali.

Aliongeza kuwa kwa kuzingatia ubora Tecno imeweza kushinda tuzo ya dunia kwa ubora na kwa sasa wanaongoza kwa mauzo kwa kipindi cha miaka mitano sasa barani Afrika.




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA
KAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPmTuHNP9upBtps8MN0nAuyBn54RLqiuePkoknlmq8CYbDNwMe6Gij5rjOf5twD_U4VYPNdqJSGQ4XI5x0vdWCQfp9iGXMOFzu2U5mzooSquDXJQ2vpjGOWEwMlTTwmeVYKg-pDaT8Dbwp/s640/PHANTOM.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPmTuHNP9upBtps8MN0nAuyBn54RLqiuePkoknlmq8CYbDNwMe6Gij5rjOf5twD_U4VYPNdqJSGQ4XI5x0vdWCQfp9iGXMOFzu2U5mzooSquDXJQ2vpjGOWEwMlTTwmeVYKg-pDaT8Dbwp/s72-c/PHANTOM.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/kampuni-ya-simu-ya-tecno-yazindua-simu.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/kampuni-ya-simu-ya-tecno-yazindua-simu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy