TBS KUFANYA MSAKO MKALI NCHI NZIMA KUWABAINI WAUZAJI WA UMEME NURU 'SOLAR POWER PANELS' ZILIZO CHINI YA KIWANGO

  Katibu  Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew Matimbwi (katikati), akiwaonesha wanahabari Dar es Salaa...







 Katibu  Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew Matimbwi (katikati), akiwaonesha wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi Umeme Nuru (Solar Power panels) ambazo hazina ubora zilizokamatwa zikiwa katika soko la Tanzania baada ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi hiyo, kufanya uchunguzi na kubaini kuwepo katika soko solar hizo. Kulia ni Ofisa Viwango wa TBS, Henry Massawe  na Ofisa Uhusiano, Roida Andusamile.



 Katibu  Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew, akiwaonesha wanahabari Solar Power panels zinazotakiwa kuwa kwenye soko ambazo ni bora.
  Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu shirika hilo kuanza msako mkali wa kuwabaini wafanyabiashara wanaouza Umeme Nuru (Solar Power Panels), zilizochini ya kiwango. Kulia ni  Ofisa Viwango wa TBS, Henry Massawe na Ofisa Udhibiti Ubora wa TBS, Ashura Katunzi.
 Ofisa Udhibiti Ubora wa TBS, Ashura Katunzi akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari. Kutoka kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa TBS, Gladness Kaseka,Katibu  Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew Matimbwi, Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile.
 Ofisa Viwango wa TBS, Henry Massawe akizungumza katika mkutano huo.
Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye mkutano huo.

SHIRIKA  la viwango Tanzania limekuwa likifanya ukaguziwa kushtukiza  wa bidhaa zilizopo sokoni na viwandani mara kwa mara, lengo likiwa niku hakikisha kuwa bidhaa hizo zinakidhi matakwa ya kiwango
cha bidhaa husika wakatiwote. 

TBS kwakushirikiana naTaasisya NishatiJadididu
(TAREA)
iliamua kufanya ukaguzi wa kushtukiza kufuatia malalamiko mengi kuhusiana na ubora waVipande vyaumemenuru katika soko
la Tanzania ilikutatuatatizo. Mnamo  tarehe 23-06-2015, TBS
ilifanya ukaguzi wa Umeme Nuru (Solar Power panels) katika maeneo yafuatayo;
Keko- Mwanga, MtaawaMsimbazi, Mtaawa Congo. 

 TBS
ilibaini baadhi
ya wasambazaji  walikuwa na bidhaa za umemenuru zilizo chini ya kiwangonyingizikitokeanchini
China.

Jumla ya vipande vya umemenuru 1321 kutokaduka na ghala la Regal Solar Ltd vilizuiwa kuuzwa; na 164
kutokaduka la Nishati Electronics Ltd
pia vilizuiwa kuuzwa baada ya ubora wake
kutiliwashaka mpaka matokeo ya maabara yatakapotoka. Na vile
vile wakaguzi walichukua sampuli kutokaduka la Keoali
Power & EquipmentsCo.Ltd.

Matokeo ya maabara yalitoka na kuonesha kuwasampuli hizo zilizochukuli wakati kama duka tajwa zimefeli.

1.    Vipande vya Umeme Nuru vinazosambazwa na Regal Solar Ltd vimefeli kufikia kiwango cha“marking and name plate”,
kwa mfano hazijaonyesha nchi zinapotengenezewa,ainaya panel naserial namba; kipimo
cha nguvu ya umeme inayotoka ni ndogo ukilinganishanakiwango cha chini cha  nguvu ya umeme inayotakiwa kutoka,
na  hii ni kwa vipande vya umemenuru vilivyo na nguvu zifuatazo: 100W,
120W,70W,50W,20W,250W,30W,150W na 170W.

2.    Vipandevya Umeme Nuru vya Nishati Electronics Ltd vimefelikufikiakiwango
cha “marking and name plate”,- havijaonyesha nchi zinapotengenezwa kipimo cha
nguvu ya umemeinayotokanindogoukilinganishanakiwango cha chini cha
nguvu ya umeme inayotakiwa kutoka
,hii ni kwa vipande vya umeme nuru vilivyo na nguvu zifuatazo:
100W,80W,70W,120W,40W,200W,30W. na kwa Vipande vya Umeme Nuru vya 120W na 200W
kiwango cha juu cha mfumo wa nguvu ya umeme hakikubainishwa hivyo kukwamisha zoezi la
upimaji.
3.    
Keoali Power &EquipmentsCo.Ltd vipande vya umeme nuru vimeonyesha kufeli
“marking and name plate- havikuoneshanchizilipotengenezwa, ainayaplate, serial
namba; havikubainisha kiasi cha juu cha mfumo wa nguvu ya umeme.

Tamko
la Shirika
TBS inatoatamko kuwa zoezi hili niendelevu na iwapo msambazaji atabainika kukiuka na kuingiza bidhaa chini ya kiwango  cha Afrika Mashariki EAS364:2005,
Shirika litachukua hatua kali zakisheria.

Tunawasihi wafanyabiashara wanaouza bidhaa hafifu za  vipandevya umemenuru kuziondoa madukani mara moja kablaShirika halijaanza zoezi hilo. 

Kushindwa kufanya hivyo kutasababisha hatua kali
za kisheria kuchukuliwa dhidi   yao pindi bidhaa hizo hafifu zitakapokutwa madukani.

Vile vile tunapenda kuwafahamisha kuwa zoezi la kuondoa bidhaa hafifu sokoni ikiwa pamoja na nguo za ndani,vilainishi vya mitambo,juisi (
ready to drink) na mikate  ya naendelea.
Wananchi wasisite kuwasiliana nasi kupiti nanamba 0800
110 827 
kwa kutumia mitandao ya TTCL na Vodacom bila gharama yoyote.



COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TBS KUFANYA MSAKO MKALI NCHI NZIMA KUWABAINI WAUZAJI WA UMEME NURU 'SOLAR POWER PANELS' ZILIZO CHINI YA KIWANGO
TBS KUFANYA MSAKO MKALI NCHI NZIMA KUWABAINI WAUZAJI WA UMEME NURU 'SOLAR POWER PANELS' ZILIZO CHINI YA KIWANGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiBGfdsDcq7n2GPUSzldP6EpQppzhhfLqcwcxZjB2cS3QgY7RqVnXHiPaP0hLbHKc0qrh-tdXsbQMLC1cYGcUkJCLCpZLofV7d7kWv11GDq2C0mSGIR2Hx06H1v2mbyFy4N182dISWNlQY/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiBGfdsDcq7n2GPUSzldP6EpQppzhhfLqcwcxZjB2cS3QgY7RqVnXHiPaP0hLbHKc0qrh-tdXsbQMLC1cYGcUkJCLCpZLofV7d7kWv11GDq2C0mSGIR2Hx06H1v2mbyFy4N182dISWNlQY/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/09/tbs-kufanya-msako-mkali-nchi-nzima.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/09/tbs-kufanya-msako-mkali-nchi-nzima.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy