Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal Nyabenda (kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la ...
|
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal Nyabenda (kushoto) na
Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Agathon Rwasa muda mfupi baada kufanya
mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo mchana. Spika huyo na ujumbe wake
walimtembelea Rais Kikwete leo. |
|
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal
Nyabenda, Naibu Spika wa Bunge hilo Agathon Rwasa pamoja wajumbe wengine ikulu jijini
Dar es Salaam leo mchana. |
|
(Picha na Freddy Maro). |
COMMENTS