MWILI WA WAZIRI CELINA KOMBANI WAWASILI DAR LEO

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Ulanga Mashariki, Celina Ompeshi Komban...






Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Ulanga Mashariki, Celina Ompeshi Kombani umewasili nchini leo kutokea Nchini India alikofia na kupokelewa na watu mbalimbali wakiwepo Viongozi wa Serikali, Ndugu jamaa na marafiki. 





Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashillilah akitangaza utaratibu wa kuuhufadhi mwili katika hospitali ya Lugalo baada ya kuwasili uwanja wa JNIA leo.









Mme wa Waziri Kombani, Bwana Salehe Konglani akisalimiana na Naizbu Waziri wa Sayansi na Tekinoloia, Mh. Januari Makamba pamoja na viongozi wengine waliofika kuwafariji wafiwa na kuupokea mwili wa marehemu. Anayemtambulisha ni Waziri wa Afya na Usatwi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid.

Mme wa Waziri Kombani, Bwana Salehe Konglani akifajiana na wafiwa wenzake.

Mme wa Waziri Kombani, Bwana Salehe Konglani alipowasili katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutokea India na mwili wa mwenza wake.



Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Katibu mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alipowasili uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kuupokea mwili wa Waziri Kombani.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifajiana na Spika wa bunge Mh. Anne Makinda alipowasili uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kuupokea mwili wa Waziri Kombani.






COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MWILI WA WAZIRI CELINA KOMBANI WAWASILI DAR LEO
MWILI WA WAZIRI CELINA KOMBANI WAWASILI DAR LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4bTlTGKfHiJC9Yg5IT16UhSvp60hjH44cMyA45zzyvfc5TrJ4JXNnB_YeC9kdpintFuIXVjaRaRAiiQqxMFTNMSy5q1w_5pvI7RHGfxFwCgWbU8ZvYIoAc1agPoU_GXCILnV6ZqRCNI7H/s640/WAWASILI.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4bTlTGKfHiJC9Yg5IT16UhSvp60hjH44cMyA45zzyvfc5TrJ4JXNnB_YeC9kdpintFuIXVjaRaRAiiQqxMFTNMSy5q1w_5pvI7RHGfxFwCgWbU8ZvYIoAc1agPoU_GXCILnV6ZqRCNI7H/s72-c/WAWASILI.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/09/mwili-wa-waziri-celina-kombani-wawasili.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/09/mwili-wa-waziri-celina-kombani-wawasili.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy