MABOMU YARINDIMA UWANJA WA TAIFA, POLISI WAFUNGA MAGETI UWANJA WATAPIKA MASHABIKI WAGOMA KUONDOKA KATIKA MECHI YA YANGA DHIDI YA TP MAZEMBE

 Gari la polisi likimwaga maji ya kuwasha, kuwatawanya mashabiki wa soka walioamriwa kurudi nyumbani baada ya uwanja wa tai...




 Gari la polisi likimwaga maji ya kuwasha, kuwatawanya mashabiki wa soka walioamriwa kurudi nyumbani baada ya uwanja wa taifa kujaa "pomoni" majira ya saa sita mchana Juni 28, 2016. Yanga inatarajiwa kumenyana na TP-Mazembe ya DCR kwenye michuano ya kombe la Shirikisho la CAF hatua ya robo fainali. (PICHA NA K-VIS MEDIA/KHALFAN SAID)
 
NA K-VIS MEDIA
UONGOZI wa uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, umelazimika kufunga mageti yote ya kuingilia uwanjani humo baada ya uwanja huo kujaa "pomoni" ilipofika saa 6 mchana.
Polisi walifanya kazi ya ziada kuwazuia maelfu ya mashabiki wa soka waliojihimu mapema kufika uwanjani, ili kujionea pambano hilo la soka ambalo Yanga ilitangaza kuwa halitakuwa na kiingilio.
Polisi walilazimika kutumia mabomu ya kutoa machozi na maji ya kuwasha ili kuwatawanya mashabiki hao wa soka ambao licha ya kuwaambia uwanja umejaa na warudi nyumbani ili kuona pambano hilo kupitia matangazo ya moja kwa moja ya runinga.
Hata hivyo mushawishi huo ulishindikana na hapo ndipo polisi walipoamua kufyatua mabomu na kurusha maji ya kuwasha.
Polisi walipata upinzani kidogo baada ya baadhi ya mashabiki kuanza kurusha mawe hata hivyo sio kwa muda mrefu kwani polisi waliongeza jitihada za kuwadhibiti na baada ya masaa mawili jitihada hizo zilizaa matunda.
 












COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MABOMU YARINDIMA UWANJA WA TAIFA, POLISI WAFUNGA MAGETI UWANJA WATAPIKA MASHABIKI WAGOMA KUONDOKA KATIKA MECHI YA YANGA DHIDI YA TP MAZEMBE
MABOMU YARINDIMA UWANJA WA TAIFA, POLISI WAFUNGA MAGETI UWANJA WATAPIKA MASHABIKI WAGOMA KUONDOKA KATIKA MECHI YA YANGA DHIDI YA TP MAZEMBE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQzdKTMFEqv52jvX19_-AwbyLGyHrbniv27c_tUbVqJ8YGX7F3Q4o6nFC0T7WCl7fxUECPZEsrE8ht4Hc5jzlYPYYpmJz71DX0nKms4rgkKKfTAF23NHDVgLefuvFhnNQVa0Tq43vEoBc/s640/5R5A3519.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQzdKTMFEqv52jvX19_-AwbyLGyHrbniv27c_tUbVqJ8YGX7F3Q4o6nFC0T7WCl7fxUECPZEsrE8ht4Hc5jzlYPYYpmJz71DX0nKms4rgkKKfTAF23NHDVgLefuvFhnNQVa0Tq43vEoBc/s72-c/5R5A3519.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/06/mabomu-yarindima-uwanja-wa-taifa-polisi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/06/mabomu-yarindima-uwanja-wa-taifa-polisi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy