LOWASSA ATUA NGURUKA NA KUMNADI KAFULILA, POLISI YAONYESHA WELEDI KATIKA KAZI

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, akiwakiliosha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba...





 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, akiwakiliosha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi, UKAWA,  Mh. Edward Lowassa, akipokea saluti kutoka kwa Askari Polisi, wakati alipowasili kwa Helkopta, kwenye Uwanja mdogo wa ndege Nguruka Kati, Jimbo la Kigoma Kusini, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, leo Septemba 4, 2015 ambapo pia alitumia fursa hiyo, kumnadi mgombea wa jimbo hilo kupitia NCCR-Mageuzi, akiwakilisha UKAWA, Mh. David Kafulila
 Mh. Lowassa, akipokelewa na Mgombea Ubnunge jimbo la Kigoma Kusini Mh. David Kafulila, alipowasili Nguruka, mkoani humo
 Mh. Lowassa, akisalimiaana na mamia ya wakazi wa mji wa Nguruka waliohudhuria mkutano wake wa kampeni



 Wananchi wakionyesha alama inayotumiwa na UKAWA hivi sa sa ya "Mabadiliko" wakati wa mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea wake Mh. Edward Lowassa, na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe huko Nguruka

 Mh. Lowassa, akimnadi Mh. David Kafulila kwenye mkutano huo
Kijana akiwa na bango lenye ujumbe. (Picha zote na Othman Michuzi)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: LOWASSA ATUA NGURUKA NA KUMNADI KAFULILA, POLISI YAONYESHA WELEDI KATIKA KAZI
LOWASSA ATUA NGURUKA NA KUMNADI KAFULILA, POLISI YAONYESHA WELEDI KATIKA KAZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUKceE0qAonlewXIPRVlIc5nKNfJ38cGctbCjcrqitZiE3czfvGFlFM3L3rqJos2IveYkfwEHs_vfJjeCuwyHTdANA9bfg0V1RW6gpjFUXbV_R_k72zb-RhRq7eBlFdP3gd4leP9WxZMVN/s640/OTH_6079.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjUKceE0qAonlewXIPRVlIc5nKNfJ38cGctbCjcrqitZiE3czfvGFlFM3L3rqJos2IveYkfwEHs_vfJjeCuwyHTdANA9bfg0V1RW6gpjFUXbV_R_k72zb-RhRq7eBlFdP3gd4leP9WxZMVN/s72-c/OTH_6079.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/09/lowassa-atua-nguruka-na-kumnadi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/09/lowassa-atua-nguruka-na-kumnadi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy