DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MANUNUZI YA UMMA KWA NCHI WANACHAMA WA EAC JIJINI ARUSHA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la ...





 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu kadi mpya ya Selcom ya kufanyia huduma ya manunuzi na malipo mbalimbali kutoka kwa Meneja wa Mradi wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Gallus Runyeta, wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho baada ya kufungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha. Kadi hiyo inatarajia kuzinduliwa rasmi mwezi Oktoba mwaka huu. Katikati ni Meneja Mawasiliano wa Selcom, Sabrina Munir. 
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu hudua za SSRA kutoka Afisa Mawasiliano wa SSRA, Sarah Kibonde,  wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho baada ya kufungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo, baada ya uzinduzi wa Kongamano hilo.
Picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa kongamano hilo. (Picha na VPO)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MANUNUZI YA UMMA KWA NCHI WANACHAMA WA EAC JIJINI ARUSHA
DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MANUNUZI YA UMMA KWA NCHI WANACHAMA WA EAC JIJINI ARUSHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuPJiYBkU8bydqc_8Vv6VBs8-yUw2-NR6cc4e9PzqnmcPrBkl7zEAUdR1tsmQ3AjTkMe3pDf_UQDRxI7t0ro_6vvenLfh6-IWpAcQVtd7tGVUqEiMyCNNeplWiIBCZ-zkhVK0rT5KBaqo/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuPJiYBkU8bydqc_8Vv6VBs8-yUw2-NR6cc4e9PzqnmcPrBkl7zEAUdR1tsmQ3AjTkMe3pDf_UQDRxI7t0ro_6vvenLfh6-IWpAcQVtd7tGVUqEiMyCNNeplWiIBCZ-zkhVK0rT5KBaqo/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/09/dkt-bilal-afungua-kongamano-la-manunuzi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/09/dkt-bilal-afungua-kongamano-la-manunuzi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy