ATOA KAULI NZITO 'CCM SIYO BABA WALA SIYO MAMA YANGU UNGANENI NA MIMI TULETE MABADILIKO YA KWELI' Mh. Edward Lowassa akiingia...
ATOA KAULI NZITO 'CCM SIYO BABA WALA SIYO MAMA YANGU UNGANENI NA MIMI TULETE MABADILIKO YA KWELI'
|
Mh. Edward Lowassa akiingia ukumbi wa hoteli ya Bahari Ledger Hotel kwa mkutano na viongozi wa Umoja wa Katiba (UKAWA), kutangaza rasmi kujiunga na CHADEMA ambapo pia alikabidhiwa kadi yeye na Mke wake Mama Regina Lowassa. |
|
Mh. Edward Lowassa akiwa na viongozi wa Umoja wa Katiba (UKAWA),
kutangaza rasmi kujiunga na CHADEMA. Kutoka (kulia) ni Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, ni Profesa Ibrahim Lipumba, Mh Freeman Mbowe na Mhandisi James mbatia. |
|
Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Profesa Ibrahim Lipumba akiteta jambo na Mh Edward Lowassa wakati wa mkutano huo. (Picha kwa hisani ya Michuzi blogs) |
COMMENTS