IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME

IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya ...





IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. 

Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ?

Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu


HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME
Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo :

Hatua  ya  kwanza, ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari.
Na  hatua  ya  pili  ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION


JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA.
1. HATUA   YA  KWANZA:
DAMU  KUTIRIRIKA  KWA  KASI KUINGIA  NDANI  YA  MISHIPA  YA  UUME  NA  KUUFANYA  UUME  KUSIMAMA  NA  KUWA  MGUMU.
Unapopata  wazo  la  kufanya  tendo  la  ndoa, mishipa  ya  fahamu iliyopo  kwenye  ubongo,  hupeleka  ishara  kwenye  mishipa  ya  uti  wa  mgongo, ambayo  nayo  hupeleka  taarifa  hadi  kwenye  mishipa  ya  uume. Taarifa  inapofika  kwenye  mishipa  ya  uume  huifanya  mishipa hiyo  ku-relax  na  hatimaye   kufanya  mishipa  ya  ateri  kufunguka  na  kutanuka. Mishipa  ya  ateri  inapo  tanuka  na  kufunguka, huruhusu  damu  kuingia  kwa  kasi  ndani  ya  mishipa  ya  uume  na  hivyo  kuufanya  uume  kusimama.
Ni  muhimu  kujua  kuwa, mishipa  ya  uume  inapo relax  hupelekea  kuisukuma na  hatimaye  kuiziba  mishipa  ya  vena  iliyo  karibu  na  mishipa  ya  uume  na  hivyo  kuiondolea  uwezo  wa  kunyonya  damu  iliyomo  ndani  ya  mishipa  ya  uume  na  kuipeleka  sehemu  nyingine  za  mwili.
N.B: Kazi  kubwa  ya  mishipa  ya  vena  ni  kunyonya  damu  iliyomo  ndani  ya  mishipa  ya  uume  na  kuipeleka  katika  sehemu  nyingine  za  mwili.  Au  kwa  lugha  nyingine  unaweza  kusema, kazi  kubwa  ya  mishipa  ya  vena  ni  kuhakikisha  hakuna  damu  kwenye  mishipa  ya  uume. 

2. HATUA  YA  PILI  :

DAMU  KUENDELEA  KUHIFADHIWA  KATIKA  UUME  WAKATI  UUME  UKIWA  UMESIMAMA  NA  HIVYO  KUUFANYA  UUME  UENDELEE  KUDUMU  KATIKA  TENDO LA NDOA   KWA  MUDA  MREFU.
Uume  ulio  simama, ili  uendelee  kusimama, ni  lazima  mishipa  ya  vena  isiwe  na  uwezo   wa  kunyonya  damu  kutoka  katika  mishipa  ya  uume  na  kuipeleka  katika  sehemu  nyinginezo  za  mwili. 
Mishipa  ya  Vena  ndio  inayohusika  na  kunyonya  damu  kutoka  kwenye  mishipa  ya  uume na  kupeleka  sehemu  nyingine  za  mwili.  Ili  uume  uendelee  kusimama  lazima  mishipa  hii  ya  vena  iwe imezibwa. Ili  iweze  kuzibwa   ni  lazima  misuli  laini  ya  kwenye  uume  iwe  ime-relax na  hivyo  kuifanya  mishipa  ya  vena  kushindwa  ku  nyonya  damu  kutoka  kwenye  uume.
Endapo  mishipa  ya  vena  itazibuka , basi  itanyonya  na  kutoa  damu yote  kutoka  kwenye  mishipa  ya  uume uliosimama  na  kuipeleka  sehemu  nyinginezo  za  mwili  na  hatimaye  uume  huo uliosimama  na  utasinyaa  mara  moja.


JINSI  UUME  UNAVYO  SIMAMA  NA  KUSISIMKA.
Tumeisha  zifahamu  hatua  mbili  muhimu  katika  kusimama  kwa  uume
Jinsi  Uume  unavyo  simama: Katika  uume  kuna chemba  yenye  mishipa  laini  sana, ambayo  ndio  huufanya  uume  kusimama.
Mishipa  hii  ipo kama  sponji  hivyo  huweza  kunyauka  na  kutanuka.
Damu  inapoingia  ndani  ya  mishipa  hii  huufanya  uume  kusimama  na  kuwa  mgumu  kama  msumari.
Damu  inapoendelea  kuhifadhiwa  ndani  ya  mishipa  hii  wakati  wa  tendo  la  ndoa, huufanya  uume  uendelee  kusimama.
Mwanaume  unapo  patwa  na  wazo la  kufanya  tendo  la  ndoa, mishipa  ya  fahamu  iliyo  kwenye  ubongo  hupeleka  ishara  kwenye  uti  wa mgongo, ambao  nao  hufikisha   taarifa  kwenye  mishipa  ya  uume.
Taarifa  ikisha  fika  kwenye  mishipa  ya  uume, huifanya  mishipa  ya  uume  ku-relax  na  mishipa  ya  uume  inapo  relax, hufanya  mambo  makuu  mawili;
i.                   Kwanza  hufanya  mishipa  ya  ateri  kufunguka na  hivyo  damu  kutiririka  kwa  kasi  sana  kuingia  kwenye  mishipa  ya  uume
Mishipa  ya  ateri  ndio  inayo  tumika  kama  njia  ya  kuingiza  damu  kwenye  uume. Bila  mishipa  ya  ateri  imara  na  yenye  afya, damu  haiwezi kuingia  kwenye  mishipa  ya  uume, na  damu  isipoweza kuingia  kwenye  mishipa  ya  uume, basi  uume  hauwezi  kusimama )

ii.                 Pili huibana  mishipa  ya  vena  na  hivyo  kuizuia    kunyonya  damu  kutoka  kwenye  uume  na  kuipeleka  kwenye  sehemu nyingine  za  mwili. Matokeo  yake  kuufanya  uume  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa. 
Kumbuka ,kazi  kubwa  ya  mishipa  ya  neva  iliyo  karibu  na  mishipa ya  uume, ni kunyonya  damu kutoka  ndani  ya  mishipa  ya  uume  na  kuipeleka  kwenye  sehemu  nyingine  za  mwili. Kwa  lugha  nyingine, kazi  kubwa  ya  mishipa  ya  vena  ni  kuhakikisha  hakuna  damu  kwenye  mishipa  ya  uume ulio simama.

Kadri  damu  inavyozidi  kuingia  ndani  ya mishipa  ya  uume, ndivyo  uume  unavyozidi  kuwa  mgumu  na  kukakamaa.
Na  kadri  damu  inavyo  hifadhiwa  ndani  ya  mishipa  ya  uume, ndivyo  uume  unavyo endelea  kusimama  wakati  wa  tendo  la  ndoa kwa  muda  mrefu.

Baada  ya  kumaliza  kufanya  tendo  la  ndoa, mishipa  ya  uume inarudi  katika  hali  yake  ya  kawaida (inanyauka ), ikisha  nyauka, mishipa  ya  ateri  inanyauka  pia, vena  zinafunguka  na  kunyonya  damu  katika  mishipa  ya  uume  na  kuirejesha  katika  sehemu nyinginezo  za  mwili  na  hatimaye  uume  kurudi  katika  hali  ya  kawaida  ( Flaccid ).
Hali  hii  itaendelea  kujirudia  kwa  kadri  utakavyo  kuwa  ukiendelea  kufanya  tendo  la  ndoa.

Mambo  Muhimu  Katika  Kuufanya Uume  Usimame na  Kuendelea  kudumu  katika  kusimama  kwa  muda  mrefu wakati  wa  tendo  la  ndoa.
Ili  uume  uweze  kusimama  imara  kama  msumari na  uendelee  kusimama  imara  na  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo la  ndoa, ni  lazima  mambo  yafuatayo yawepo.

1.          Mishipa ya   uume iliyo  imara  na  yenye  afya  njema.
2.          Mfumo   mzuri  wa damu  katika   mwili  mzima.
3.          Mtiririko  imara  wa  damu kuingia  na  kutoka  ndani  ya  mishipa  ya  uume.
4.          Ushirikiano  wenye  afya  kati  ya  mishipa  ya  fahamu  ya  kwenye  ubongo  (nerves), mishipa  ya  kwenye  uti  wa  mgongo  pamoja  na  mishipa  ya  kwenye  uume.

Ili  mwanaume  aweze  kuwa  imara  katika  tendo  la  ndoa, ni  lazima  mambo  manne  niliyo yataja  hapo  juu  yawe  sawa sawa  bila  hitilafu  yoyote. Kinyume  chake, mwanaume  hawezi  kuwa  na  nguvu  za  kiume. 

MAMBO   YANAYO SABABISHA   UKOSEFU/UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.

Tumeshajua   nguvu za  kiume  ni  nini, jinsi  uume  unavyo  simama, hatua  za  kusimama  kwa  uume, pamoja  na  mambo  yanayo  fanya  uume  uweze  kusimama  na  kuwa  na  uwezo  wa  kuendelea  kusimama  wakati  wa  tendo  la  ndoa.
Ni  vyema  tukajua  mambo  yanayo  sababisha  kushindwa  kusimama  kwa  uume, mambo  yanayo  sababisha  uume  ushindwe kuendelea  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa   pamoja  na  mambo  yanayo  fanya  mtu  ashindwe  kurudia  tendo  la  ndoa.

Yafuatayo  ni  mambo  yanayo  sababisha  ukosefu wa  nguvu  za  kiume. 
1.    MAGONJWA  YANAYO  SHAMBULIA  MFUMO  WA  DAMU  PAMOJA  NA  MISHIPA  YA  DAMU. 
Damu ndio nishati inayo wezesha kusimama kwa  uume na kuufanya kuwa  mgumu na imara kama msumari.
Damu  ndio  nishati  inayoweza   kuufanya  uume uendelee kusimama  wakati  wa  tendo  la  ndoa.
Damu  ndio  nishati  inayo  upa  uume  uimara  na  uwezo  wa  kurudia  tendo  la  ndoa  zaidi  ya  mara  moja.
Hivyo basi  ili  uume  uweze  kuwa  imara na wenye nguvu, pamoja na kuwa  na  uwezo wa  kumudu na  kustahimili   tendo la ndoa  wakati  wowote, basi  ni  lazima  mwanaume awe  na mfumo  imara  wa  damu  utakaoruhusu  kutiririka  kwa damu  kwenda  katika sehemu mbalimbali  za  mwili  ikiwamo  uume.  
Ili  mfumo  uweze  kuwa  imara  ni  lazima  mhusika  awe  na  damu  ya  kutosha, na  pili  awe  na  mishipa  ya  damu  yenye  afya.
Katika  mwili  wa  mwanadamu, kuna  mishipa  inayo  tumika  kusafirisha  damu  kutoka  katika  sehemu moja  ya  mwili kwenda  katika  sehemu  nyingine  ya  mwili  ikiwemo  uume. Mishipa  hiyo  ni  kama  vile  vena (veins), atery ( ateri) na  capillary  ( kapilari ). 
Mishipa  hii  ya  damu  inapaswa  kuwa  imara  na  yenye  afya  njema  wakati  wote.  Mishipa hii ikipatwa na hitilifu, basi itazuia kusafirishwa kwa damu katika sehemu  mbalimbali za  mwili wa mwanadamu  na  hatimaye  kufanya  suala la kuwa  na  nguvu  za  kiume kwa mhusika  kuwa ugumu kwa sababu ya kushindwa kupeleka damu kwenye  mishipa  ya  uume. 
Magonjwa kwenye mishipa ya damu huzuia  kutirika  kwa damu kwenye  ogani  muhimu kama  vile moyo, ubongo na  figo.

VIASHIRIA  VYA  MAGONJWA  KWENYE  MISHIPA  YA  DAMU.
Utajuaje kwamba una  magonjwa  kwenye  mishipa yako ya damu ?
Ukiwa una matatizo yafuatayo ya kiafya, ni ishara kwamba, una magonjwa  kwenye  mishipa  yako  ya  damu:
1.  Kolestrol ( Ama  lehemu  kwenye  damu )
Kolestrol  nyingi  kwenye  damu, huzuia  kutiririka  kwa  damu. Kolestrol  ikizidi  kwenye  damu,  hupelekea  kuziba   mishipa  ya  ateri  ambayo  kazi  yake  ni  kupeleka  damu  kwenye  uume. Matokeo  yake  ni  mhusika  kutokuwa  na  uwezo  wa  kusimamisha  uume  wake barabara  kwa  sababu uume  hauwezi  kusimama  bila  damu  kuingia  ndani  ya  mishipa  ya  uume.  Hivyo  basi pamoja  na  dawa  ya  nguvu  za  kiume, yakupasa  kutibu  kolestrol. Unaweza  kuondoa  kolestrol  kwenye  damu  kwa  kutumia  dawa  mbali  za  asili  kama  vile mdalasini,uwatu, habbat sodah  etc.  Jinsi  ya  kujitibu  kolestrol  kwa  kutumia dawa asilia  tafadhali  tembelea

2.      Shinikizo  Kubwa  la  Damu
Shinikizo Kuu la Damu husababisha mishipa ya ateri ambayo hutiririsha damu  iingiayo kwenye uume kuziba  na  kushindwa kutanuka  kwa  kiwango  inachotakiwa kutanuka.
Pia huifanya mishipa laini katika uume kushindwa ku-relax na hivyo kushindwa  kuizuia  mishipa  ya vena ya kunyonya damu kutoka kwenye mishipa  ya  uume  na kuipeleka kwenye maeneo mengineyo ya  mwilini.
Matokeo  yake  kunakuwa hakuna  kiasi  cha  kutosha  cha  damu  iingiayo  kwenye  uume  na  hivyo  kufanya  uume  ushindwe  kusimama.
Vile  vile  hata  kiasi  kidogo  cha  damu  kinacho  ingia  kwenye  uume, kinashindwa  kuendelea  kuhifadhiwa  ndani  ya  uume  wakati uume  ukiwa  umesimama, na  matokeo yake  ni  uume  kusinyaa  ndani  ya  kipindi kifupi  sana  tangu  usimame.
Pamoja  na kutumia  dawa  ya  nguvu  za  kiume, unapaswa   pia  kutumia  dawa  asilia  kujitibu  tatizo  la  shinikizo  kuu  la  damu.
Kufahamu  jinsi  ya  kujitibu  tatizo  la  shinikizo  la  damu  kwa  njia  ya  asilia, tembelea :

3.  Ugonjwa  wa  kisukari :
 Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya tatizo la ukosefu wa  nguvu za kiume. Kusimama kwa uume kunategemeana na kutiririka  kwa  damu mwilini. Kisukari  huathiri mishipa ya damu pamoja  na usambazaji wa  damu kwenye ogani muhimu mwilini kama vile moyo, ubongo, figo na uume.
Kiukweli, mwanaume  mwenye  kisukari  yupo  katika  risk  kubwa  ya  kupatwa  na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, tena katika kiwango kikubwa sana.
Unashauriwa pamoja  na kutumia  dawa  ya  nguvu  za  kiume, tumia  pamoja  na  dawa  mbalimbali  za  asili  kwa  ajili  ya  kubalance  sukari  yako mwilini. Zipo  dawa  mbalimbali  za  asili  zinazo  saidia  kubalance  kiwango  cha  sukari  mwilini. Dawa  hizo  ni  pamoja na mdalasini, unga  wa  uwatu, mbegu  za  uwatu, manjano, majani  ya  manjano,mbegu  za  katani, nakadhalika. Namna  ya  kutumia  dawa  hizo  kujitibu  tatizo  la  sukari, tafadhali  tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html 

4. Magonjwa  ya  figo

Tatizo  la  ugonjwa  wa  figo  huathiri  vitu vingi  ambavyo  ni  muhimu  sana  katika  kuufanya  uume  uweze  kusimama  na  kuendelea  kudumu  katika  kusimama. 
Tatizo la figo, huathiri homoni, huathiri kutiririka kwa damu kwenda kwenye  mishipa  ya  uume. Huathiri  mfumo  wa mishipa  ya  neva  pamoja  na  nishati  ya mwili mzima.
Pamoja  na dawa ya kutibu tatizo la nguvu za kiume, unapaswa pia, kutibu  tatizo la figo. Kufahamu jinsi ya kujitibu magonjwa  mbalimbali  ya  figo kwa kutumia dawa mbalimbali asilia, tembelea :http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html 

5.        Ugonjwa  wa  moyo

Moyo ndio supplier  mkubwa wa damu katika sehemu mbalimbali za mwili.  Ugonjwa wa moyo hupunguza uwezo wa moyo  kusambaza damu kwenye  mishipa mbalimbali  ya  damu na hivyo kuathiri  utendaji  kazi wa mishipa ya damu  kama  vile  ateri  na  vena. Matokeo yake  ni  mishipa  hiyo kushindwa  kupeleka  damu  ya  kutosha  katika uume pamoja  na  kushindwa kuifanya  mishipa  ya  uume  kurelax na  matokeo  yake, Ukosefu wa nguvu za kiume. Hivyo  basi, pamoja  na  dawa  ya  nguvu za  kiume, unapaswa  pia   kutibu  tatizo  la  moyo. Kufahamu  jinsi  unavyo  weza  kutibu  ugonjwa  wa moyo  kwa  dawa  asilia, tembelea :

6.  Kupwaya  kwa  mishipa  ya  vena.
Kazi  kubwa  ya  mishipa  ya  vena  kwenye  uume   kunyonya  damu  iliyomo  ndani  ya  mishipa  ya  uume na  kuipeleka  katika  sehemu  nyingine  za  mwili.  Mishipa  ya  vena  iliyopo  karibu  na  uume  kazi  yake kubwa  ni  kuhakikisha  hakuna  damu  yoyote  kwenye  mishipa  ya  uume. 
 KUMBUKA KUWA  DAMU NDIO HUFANYA UUMU USIMAME, HIVYO CHOCHOTE  KILE  KITAKACHO FANYA DAMU ISIKAE NDANI YA  MISHIPA YA  UUME, KITAFANYA UUME USINYAE  
Ili  uume uendelee kusimama ni lazima mishipa ya vena isiwe na uwezo  wa  kunyonya damu kutoka kwenye  mishipa ya uume kupeleka nje ya mishipa ya uume.
Na  ili mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka kwenye  mishipa ya uume ulio simama  na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili, ni  lazima mishipa ya uume iwe imara na thabiti isiyo na hitilafu yoyote ile. 
Mishipa ya vena  ikipwaya, mwanaume hutokuwa na uwezo  wa  kusimamisha  uume wako, na  ikitokea umefanikiwa  kuusimamisha  basi  utasimama  ukiwa  legelege  sana  na  utasinyaa  ndani  ya  muda  mfupi sana, kwa  sababu  damu  iliyo  ingia  ndani  ya  uume  wako  na  kuufanya  usimame, itanyonywa  ndani  ya muda  mfupi  sana  na  kutolewa  nje  ya  mishipa  ya  uume  na  hivyo  kuufanya  uume  wako  usimame.
 Tatizo  la  kupwaya  kwa  mishipa ya vena linasababishwa na kupiga punyeto kwa muda mrefu pamoja na ugonjwa wa kisukari. 
KUPIGA  PUNYETO  KWA  MUDA  MREFU:   Kupiga punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la  ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye  tatizo la ukosefu  wa nguvu za kiume, linasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu. 
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Unapopiga punyeto unakuwa unaiminya mishipa ya uume  ambayo ndio inaufanya uume usimame.
Matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na  kutokuwa na  uwezo  wa kusimamatena.
Mishipa  ya  uume  iliyolegea  kutokana  na  upigaji  punyeto, huleta  madhara  yafuatayo  :
i.           Huondoa uwezo wa mishipa ya  uume kurelax.
 ( Unapopata  wazo  la  kufanya  tendo  la  ndoa, mishipa  ya  uume  ina relax  , mishipa  iki  relax husababisha  mishipa  ya  ateri  kupanuka  na  kuruhusu  damu  kingie  ndani  ya  mishipa  ya  uume  na hatimaye  kuufanya  uume  usimame  na  kuwa  mgumu)
 ii.         Mishipa  ya kiume ikishindwa ku relax husababisha mishipa  ya ateri  kuziba
iii.       Mishipa ya ateri ikiziba, damu haiwezi kutiririka kuingia kwenye mishipa ya uume, na hata ikitokea damu  imeingia ndani ya mishipa ya uume basi huingia kiasi kidogo sana tena kwa presha ndogo sana hivyo basi hata kama uume utasimama   basi  utasimama  ukiwa  legelege  sana
iv.       Mishipa ya uume ikishindwa kurelax  basi haitakuwa  na uwezo wa kuisukuma na kuiziba mishipa ya vena  ambayo ndio  hunyonya damu  kutoka kwenye  mishipa ya uume ulio simama. Matokeo yake basi, damu kidogo iliyo ingia  ndani  ya mishipa ya uume na kuufanya uume kusimama, hunyonywa na kutolewa nje ya mishipa ya uume ndani  ya sekunde  chache  sana  na hivyo kuufanya uume usinyae ndani ya muda mfupi sana.
v.         Mishipa  ya  uume  kulegea
vi.       Uume  kurudi ndani  na  kusinyaa  na  kuwa  kama  uume  wa  mtoto
6.      Tatizo la unene kupita kiasi: Tatizo la  unene na uzito kupita kiasi ni miongoni mwa mambo yanayo sababisha upungufu wa nguvu za kiume. Unene kupita kiasi humuweka mtu katika hatari ya  kupatwa na  magonjwa kama vile kisukari, presha, moyo na shinikizo kuu la damu. Na magonjwa ya  kisukari, moyo,presha  na  shinikizo  la  damu  husababisha  upungufu na  ukosefu wa  nguvu  za kiume, na  hivyo  kumuweka muhusika  katika hatari  kuu ya  kupatwa  na tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za  kiume.
Hivyo  basi  kwa wewe mwenye tatizo la unene na uzito kupita kiasi , pamoja na kutumia tiba ya nguvu za kiume, ni  vyema ukafanya na mpango wa kupunguza unene na uzito wako.
JINSI  YA  KUPUNGUZA UZITO NA UNENE KWA KUTUMIA TIBA ASILIA, TAFADHALI  TEMBELEA:
  
7.   Matatizo  Katika  mfumo  wa  Ubongo 
 Uume  hauwezi  kusimama   bila  ya  kuwa  na  ushirikiano  na  ubongo.  Ili mtu  uume  uweze  kusimama, mtu  lazima  apate  wazo  la  kufanya  tendo  la  ndoa (UBONGO  UNA HUSIKA HAPO ), akishapata wazo, ubongo hupeleka ishara kwenye  mishipa  ya  fahamu  iliyopo  katika  uti  wa  mgongo  ambayo  nayo hupeleka  taarifa  kwenye  mishipa  ya  uume  then  uume  usimama.   Hivyo  basi  ili  mtu  aweze  kuwa  na uwezo  wa kusimamisha  uume  wake  ni lazima  kuwa  na  mawasiliano  mazuri  na  imara  kati  ya mishipa ya  fahamu ( ubongo ), mishipa  ya  kwenye  uti  wa  mgongo   na  mishipa  ya  kwenye    uume.  Bila ushirikiano  kati  ya  vitu  hivyo  vitatu, uume  hauwezi  kusimama.
   Magonjwa yanayoweza kuathiri ushirikiano kati ya  mishipa ya ubongo  na  mishipa ya uume, yanaweza kusababisha kushindwa kusimama kwa uume. 
Magonjwa hayo ni pamoja na kiharusi, kupoteza kumbukumbu (Alzheimer), multiple sclerosis pamoja na ugonjwa wa Parkinson.
Ni vyema mgonjwa akatibiwa  kwanza magonjwa  hayo  kabla ya  kuanza kutumia dawa ya nguvu za kiume. Kufahamu jinsi  ya kujitibu magonjwa tajwa hapo juu kwa njia asilia, tafadhali tembelea

Mambo mengine yanayo sababisha  ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, ni pamoja na maumivu majeraha kwenye uti wa mgongo, chango la kiume, ngiri na matatizo katika homoni.

VIASHIRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA  NGUVU  ZA  KIUME.
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo;
1. Kushindwa  kabisa kusimamisha uume wake
2. Uume kusimama ukiwa legelege
3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa
4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya  staili (Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo  la ndoa kwa staili ya “ missionary”pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya ulegelege
5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.
6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity  yoyote ya  kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati  wa  tendo  la  ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
8. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke (Kwa mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari unasinyaa )
9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa. 

VIASHIRIA  VYA  MWANAUME  ASIYE  NA  TATIZO  LA UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.

Mwanaume  asiye  na tatizo  la  ukosefu  wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo ;
i.           Uume  husimama ukiwa imara kama msumari.
ii.         Hukaa kifuani kwa muda mrefu (Wastani ni  kati ya dakika 20 hadi 45 )
iii.       Huweza kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila misuli ya uume kuchoka.
iv.       Huweza kufanya tendo la ndoa kwa staili yoyote ile
v.         Uume husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala kuwa stimulated kwa namna yoyote ile
vi.       Kwa ufupi anakuwa na uwezo wa kufanya na kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu mkubwa.

TIBA ASILIA YA TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Dawa  asilia ya JIKO ni dawa asilia inayotibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za  kiume.

                              MFUMO   WA  DAWA
Dozi ya dawa ya JIKO ni mkusanyiko wa dawa  nne asilia  zenye uwezo  mkubwa sana katika kutibu na kuponyesha  kabisa  tatizo la  ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hizi zipo katika mfumo wa MIZIZI na UNGA UNGA.

JINSI DOZI YA DAWA YA JIKO INAVYO FANYA KAZI.
Dozi ya dawa ya JIKO inafanya kazi zifuatazo katika mwili wa mwanadamu.

KAZI INAYO FANYWA NA DAWA YA JIKO .

Dawa ya JIKO inasadia  katika mambo makuu yafuatayo:          
1.  Inasaidia   kuimarisha  mishipa  ya  uume  ulio legea na  hivyo kuufanya uume uwe  na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.

2. Inasaidia kusafisha mishipa  ya kwenye uume  na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye  uume.

3. Huongeza  damu  mwilini

4. Husaidia  kuongeza  msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu.

5. Huipa  misuli  ya  uume uwezo wa kuziba wa kuizuia mishipa ya  vena  kunyonya damu kwenye mishipa ya  uume  wakati wa tendo la ndoa na matokeo yake kukupa uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu
        (Kuzuia hali ya kufika kileleni haraka)

6. Husaidia kurelax mind  na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo

7.  Hurejesha, kuimarisha na kuboresha ushirikiano kati ya mishipa ya fahamu  ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na  mishipa ya kwenye uume

8. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi bila kuchoka.

9. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.

10.            Husaidia  kuurudisha  nje  uume  ulio ingia  ndani.

11.               Husaidia kutibu side effects za punyeto na  matumizi ya  muda  mrefu ya dawa kali za (za kizungu) za kuongeza nguvu za kiume.

12.                Husaidia  kutibu  chango  la  kiume.

13.            Dawa  hii  huwasaidia  hata  wanawake  wanao sumbuliwa  na  tatizo  la  ukosefu  wa  hamu ya  tendo la  ndoa.

BEI  YA  DAWA: Dozi ya dawa ya JIKO inapatikana kwa gharama ya SHILINGI ELFU THEMANINI TU (Tshs.80,000/=)
  
MAHALI TUNAPOPATIKANA :
Dozi ya dawa ya JIKO, inatolewa  na  duka la  dawa asilia la NEEMA HERBALIST   NUTRITIONAL FOODS CLINIC. Tunapatikana  jijini  DAR ES  SALAAM, katika eneo la TABATA karibu na SHULE YA SEKONDARI YA MTAKATIFU ANUARITE.

Kwa  wasioweza kufika ofisini kwetu, tunatoa  huduma  ya kuwapelekea  dawa  mahali  walipo  ( DELIVERY )

Kwa  wateja  waliopo  nje  ya  DAR  ES  SALAAM, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  mabasi, wateja  waliopo Zanzibar, watatumiwa  dawa  kwa   njia  ya  boti  na  kwa  wateja  waliopo  Ulaya, America  na  Arabuni, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  DHL  au POSTA.

WASILIANA  NASI  KWA  SIMU  NAMBA 

0766  53  83  84.

Na  kwa  maelezo  zaidi  kuhusu  huduma  zetu, endelea  kutembelea:

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhaHAYGcBwIm4XRI_FQFbisR2ORYGvNrx2X8PF4MUksewGMRKnRxi98GW5nfQ47Wslue3h2WZLyAXfRCi8MzSmS9kRWUxZGTQSLm7A47O7Nm1OZOt0Fw8MKpkBbDr03NDGFbkkrSMGkJ9g/s320/unnamed.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhaHAYGcBwIm4XRI_FQFbisR2ORYGvNrx2X8PF4MUksewGMRKnRxi98GW5nfQ47Wslue3h2WZLyAXfRCi8MzSmS9kRWUxZGTQSLm7A47O7Nm1OZOt0Fw8MKpkBbDr03NDGFbkkrSMGkJ9g/s72-c/unnamed.png
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/ijue-sayansi-ya-nguvu-za-kiume.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/ijue-sayansi-ya-nguvu-za-kiume.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy