PIA AONGOZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM MJINI DODOMA LEO, KIKAO HICHO ALIKIFUNGUA JANA Mwenyekiti wa CC...
PIA AONGOZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM MJINI DODOMA LEO, KIKAO HICHO ALIKIFUNGUA JANA
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiingia ukumbini kuendesha Kikao cha
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo. kulia ni Katibu Mkuu
wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na viongozi wa ngazi ya juu wa Chama
baada ya kuwasili ukumbini. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa
Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM
Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM,
mjini Dodoma leo, May 24, 2015. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa
CCM, Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
(Picha na Bashir Nkoromo)
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM,
mjini Dodoma leo, May 24, 2015. Kuahoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM,
Bara, Philip Mangula Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na
Bashir Nkoromo)aption
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM
Abdulrahman Kinana kabla ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kuanza leo,
mjini Dodoma Nkoromo)
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendelea kuongoza kikao cha Halmashauri
Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo, May 24, 2015. Picha zote na Bashir
Nkoromo). Picha nyingi zaidi tafadhali>BOFYA HAPA
Loaded All PostsNot found any postsVIEW ALLReadmoreReplyCancel replyDeleteByHomePAGESPOSTSView AllRECOMMENDED FOR YOULABELARCHIVESEARCHALL POSTSNot found any post match with your requestBack HomeSundayMondayTuesdayWednesdayThursdayFridaySaturdaySunMonTueWedThuFriSatJanuaryFebruaryMarchAprilMayJuneJulyAugustSeptemberOctoberNovemberDecemberJanFebMarAprMayJunJulAugSepOctNovDecjust now1 minute ago$$1$$ minutes ago1 hour ago$$1$$ hours agoYesterday$$1$$ days ago$$1$$ weeks agomore than 5 weeks agoFollowersFollowTHIS CONTENT IS PREMIUMPlease share to unlockCopy All CodeSelect All CodeAll codes were copied to your clipboardCan not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy
COMMENTS