NEWS ALERT:WATANZANIA WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI WAREJEA NYUMBANI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe...





JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Coat of Arms
Simu: 255-22-2114615, 211906-12
Barua pepe: nje@nje.go.tz
Barua pepe: gcu@nje.go.tz

Nukushi: 255-22-2116600

              

               20 KIVUKONI FRONT,
                          P.O. BOX 9000,
                 11466 DAR ES SALAAM,  
                                   Tanzania.


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WATANZANIA WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAMEREJEA NYUMBANI
Kundi la Watanzania 26 limerejea nyumbani kutoka Afrika Kusini  leo tarehe 26 Aprili, 2015 kufuatia mashambulizi ya wazawa dhidi ya wageni.  Kundi hilo la kwanza kurejea nyumbani liliwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere saa 11 alfajiri na Ndege ya Fast Jet.  

Watanzania hao walikuwa wanaishi katika kambi za dharura za Isipingo na Phoenix zilizopo jijini Durban. Walisindikizwa kurudi nyumbani na  Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Bw. Elibahati Lowassa. Zoezi la kuwarejesha wananchi hao lilisimamiwa na kuratibiwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini.  

Wakati huo huo, Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umepata taarifa kuwa kuna Watanzania wengine wapatao 20 wanaishi kwenye Kambi ya Hillbrough jijini Johannesburg. Ubalozi umetuma Afisa kwenda katika kambi hiyo ili kufanya uhakiki wa taarifa hizo kwa madhumuni ya kuwarejesha nyumbani Tanzania haraka iwezekanavyo.
MWISHO.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali kwa Umma,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
25 Aprili 2015

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NEWS ALERT:WATANZANIA WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI WAREJEA NYUMBANI
NEWS ALERT:WATANZANIA WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI WAREJEA NYUMBANI
https://lh4.googleusercontent.com/djgUzY193uiU-q7aeCyP5BP-2vxfJOfHpbuVzzrHsIzox1grNi3nr313YfWB1OQP-1unHvyrXtaaMLaNygA4aXij_GffqS8BNqRwO0_fmhfw2rr5XdxDqP-9pM58_bUwLxnYaD6MMzt7QpeM
https://lh4.googleusercontent.com/djgUzY193uiU-q7aeCyP5BP-2vxfJOfHpbuVzzrHsIzox1grNi3nr313YfWB1OQP-1unHvyrXtaaMLaNygA4aXij_GffqS8BNqRwO0_fmhfw2rr5XdxDqP-9pM58_bUwLxnYaD6MMzt7QpeM=s72-c
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/news-alertwatanzania-waliokwama-afrika.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/news-alertwatanzania-waliokwama-afrika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy