MHE. ESTER BULAYA AADHIMISHA HAPPY BIRTHDAY YA MWANAYE BRIGHTON BABILE

Siku ya Jumamosi Aprili 16 mwaka 2005 Mwandishi wa habari wa gazeti kongwe la chama cha Mapinduzi, Mhe. Ester Amos Bulaya...






Siku ya Jumamosi Aprili 16 mwaka 2005 Mwandishi wa habari wa gazeti kongwe la chama cha Mapinduzi, Mhe. Ester Amos Bulaya alijifungua mtoto wa kiume aliyemwita jina la Brighton.  Juzi Aprili 16 katika moja ya migahawa ya Hoteli ya kitalii ya Sea Clif jijini Dar es Salaam, Brighton alitimiza miaka 10 tangu kuzaliwa. Pichani juu ni Brighton akiwa na mama yake ambaye hivi sasa ni Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM).
Brighton Babile (kulia) na rafiki zake wakishangilia keki.
Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya akimsaidie Brighton kukata keki.
Ester akilishwa keki na mtoto wake.
Birthday Boy, Brighton akilishwa keki na mama yake.
Aunt Halima Mdee (Mbunge wa Kawe) nae akilishwa keki na Birthday Boy.
Aunt Shy-Rose Banji akilishwa keki.
Shy Rose akifurahia jambo na Birthday Boy.
Furaha ilikuwa ndio kitu kikubwa...
Dude la Chelsea hilo.
Pedeshee James Mwakibinga akifanya vitu vyake wakati wa utoaji zawadi.
Misosi ililiwa...
Marafiki wa Ester Bulaya wakiwa katika tafrija hiyo.
Shampeni ilifunguliwa na watoto ...
 Cheaaaaazzzzz!! ilipigwa kumtakia heri Brighton Babile
 Mama na Mwana wakigonganisha glass zao.
Brighton akiteta jambo na bibi zake.
Zawadi zilikuwa mpango mzima...
Mama  alitoa zawadi murua ya kidijitali ya laptop.
Bibi, Jaji Hamisa Kalombola wa Mahakama Kuu Dodoma, akikabidhi zawadi.
 Mbunge wa Afrika Mashariki Shyrose Banji alikabidhi zawadi nzuri ya saa.
 Brighton akipokea zawadi ya vitabu vya lugha ya Kifaransa kutoka kwa Mbunge wa Kawe na rafiki wa mama yake, Halima Mdee.
 Ester akiwa na mdogo wake Radhia
Birthday Boy, Brighton akiwa na baba yake Mkubwa ambaye pia ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashilila. (imeandaliwa na Father Kidevu blogs)

COMMENTS

BLOGGER: 1
Loading...
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MHE. ESTER BULAYA AADHIMISHA HAPPY BIRTHDAY YA MWANAYE BRIGHTON BABILE
MHE. ESTER BULAYA AADHIMISHA HAPPY BIRTHDAY YA MWANAYE BRIGHTON BABILE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnfVDoRTQv__Ypd21ArJOjtyAR3K4CIZGGogVe-tFvCQx0Eud69H6Y0-4fqbNpjOgn6AdaOenVgYe-pwxm0z39cgOCSvLbdAoKGs7JfVFG820OMHEvia2rS3v-rU3u7pHfZBTxS3z8R4tp/s1600/DSC_0354.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnfVDoRTQv__Ypd21ArJOjtyAR3K4CIZGGogVe-tFvCQx0Eud69H6Y0-4fqbNpjOgn6AdaOenVgYe-pwxm0z39cgOCSvLbdAoKGs7JfVFG820OMHEvia2rS3v-rU3u7pHfZBTxS3z8R4tp/s72-c/DSC_0354.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/mhe-ester-bulaya-aadhimisha-happy.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/mhe-ester-bulaya-aadhimisha-happy.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy