Marafiki na majirani wakimfariji Mariam Abdallah, mke wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Rashidi Makame Mnalihinga aliyefariki dunia katika...
 |
Marafiki na majirani wakimfariji Mariam Abdallah, mke wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Rashidi Makame Mnalihinga aliyefariki dunia katika hospitali ya TJM alihamishiwa baada ya kulazwa hospitali ya Lugalo awali kutokana na maradhi ya shinikizo la damu. |
 |
Mariam Abdallah akiwa na majonzi nyumbani kwake Mikocheni Dar es Salaam wakati msiba Aprili 14. |
 |
Picha
ya Marehemu Meja Jeneral Mstaafu Makame Rashid Mnalihinga enzi za uhai wake akiwa akifurahia jambo na wanawe. |
 |
Mstahiki Meya wa Manispaa Kinondoni akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo. |
 |
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Kwame Makame pamoja na ndugu wengine, katika
msiba wa baba yake marehemu, Meja Jenerali Mstaafu Makame Rashidi Mnalihinga alipokwenda
kuhani msiba huo |
 |
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapa pole wafiwa. |
 |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ndugu wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Makame Rashidi Mnalihinga baada ya kulazwa katika hospitali ya Lugalo na kufariki katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam kutokana na maradhi ya shinikizo la damu jana. Rais alikwenda kuwafariji wafiwa nyumbani kwake Mikocheni, ambapo marehemu atasafirishwa Jumanne kwenda Mtwara kwa maziko. Kulia ni mtoto mkubwa
wa marehemu, Kwame Makame pamoja. |
 |
Rais Jakaya Kikwete akimpa pole Muhidini Ndolanga rafiki wa marehemu, Meja Jenerali Mstaafu Makame Rashidi Mnalihinga kabla ya kuaga alipokwenda kuhani msiba huo.
|
COMMENTS