MAADHIMISHO YA GIRL GUIDES TEMEKE YA KUMUENZI MWASISI WA TGGA DUNIANI

 Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika matembezi ya Maadhimisho ya Chama Cha Girl Guides Tanzania (TGGA) ya k...

 Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika matembezi ya Maadhimisho ya Chama Cha Girl Guides Tanzania (TGGA) ya kumuenzi mwanzilishi wa chama hicho Duniami, Roden Barden Powell yaliyofanyika Manispaa ya Temeke Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa TGGA Tanzania, Profesa Martha Qorro na Kamishna Mkuu wa TGGA Tanzania, Symphorosa Hangi . (PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

  Kamishna Mkuu wa TGGA Tanzania, Symphorosa Hangi  akiwasalimia wanafunzi ambao ni wanachama a TGGA Temeke

 Wanafunzi wanachama wa TGGA Temeke wakiandamana wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Shule ya Tandika wilayani Temeke, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.



 Viongozi wa TGGA wakipiga makofi wakati wa kuyapokea matembezi ya wanachama wa TGGA

 Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TGGA

 Kaimu Ofisa Tarafa Chang'ombe, Hezron Mweladzi (kushoto) aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva akizungumza jambo wakati wa Madhimisho ya Chama Cha Girl Guides Tanzania ya kumuenzi mwanzilishi wa chama hicho. Roden Barden Powell... Kulia ni Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi na Mwenyekiti wa Chama hicho,Martha Qorro

 Wanafunzi hao wakiimba nyimbo wakati wa maadhimisho hayo

 Wanafunzi wakiwa katika igizo la mchezo wa kuelimisha na kukataa kurubuniwa na wanaume. wa katikati ni Eunice Joseph, kushoto ni Hajra Mhamedy na kulia ni Seiph  Kingwande ,

 Wanafunzi wakiwa katika igizo, kushoto ni Eunice Joseph kama mwanafunzi, kulia aliyekaachini ni  ni kama Daktari aliyekuwa akimpima mwanafunzi aliyekuwa na ujauzito Husna Mussa na wakatikati ni Farider Mohammed kama mzazi wa mwanafunzi  

 Kamishna wa TGGA Temeke, Komba akizungumza jambo wakati wa maadhimisho hayo

 Profesa Qorro akihutubia wakati wa maadhimisho hayo

 Profesa Qorro akiwaelekeza jambo wanafunzi

Profesa Qorro akiagana na wanafunzi baada ya maadhimisho hayo kumalizika

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAADHIMISHO YA GIRL GUIDES TEMEKE YA KUMUENZI MWASISI WA TGGA DUNIANI
MAADHIMISHO YA GIRL GUIDES TEMEKE YA KUMUENZI MWASISI WA TGGA DUNIANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgC1O6i4aoYsYqwUZQLM7nqVvlbbCQ7AKU16z6vqJSY0Aoy3qysjs6REN7kjUHIsTTKORxI-PodNWkquOun2ky-B4qIdRP-sE1I3IgbI3twyZlTagrTF47cde3yvIV1HcWjeVCLuWPYkBw/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgC1O6i4aoYsYqwUZQLM7nqVvlbbCQ7AKU16z6vqJSY0Aoy3qysjs6REN7kjUHIsTTKORxI-PodNWkquOun2ky-B4qIdRP-sE1I3IgbI3twyZlTagrTF47cde3yvIV1HcWjeVCLuWPYkBw/s72-c/01.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/maadhimisho-ya-girl-guides-temeke-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/maadhimisho-ya-girl-guides-temeke-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy