KAMPUNI ZA SIMU ZASAINI MIKATABA NA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE (UCSAF)

Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (kulia) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi...




Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (kulia) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa MIC Tanzania (Tigo), Cecilia Tiano wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule za Umma.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) Eng. Peter Ulanga akizungumza na waandishi wa habari  wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule za Umma.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (wa tatu kushoto) akisikiliza kwa makini wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya MIC Tanzania (Tigo) Cecilia Tiano (wa pili kutoka kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Tanzania (TTCL) Kamugisha Kazaura (wa tatu kutoka kulia).
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma, akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawamo pichani) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. 
 
Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (wa tatu kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa MIC Tanzania (Tigo), Cecilia Tiano (wa pili kushoto) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule za Umma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Tanzania (TTCL) Kamugisha Kazaura.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (wa pili kulia) akisaini mkataba wa miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) na kampuni za simu za mkononi katika hafla iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule za Umma,wengine ni mwakilishi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya MIC Tanzania (Tigo) Cecilia Tiano (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) Eng. Peter Ulanga (kushoto). 
 
Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Mawasialiano Prof. Makame Mbarawa (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) Eng. Peter Ulanga (wa pili kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Tanzania (TTCL) Kamugisha Kazaura (wa pili kulia) na Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo Dar es Salaam. 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMPUNI ZA SIMU ZASAINI MIKATABA NA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE (UCSAF)
KAMPUNI ZA SIMU ZASAINI MIKATABA NA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE (UCSAF)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPF5OQn71eftsNPvMOD56HMesnFoEx9gpKlKR1QqCbv5x6IKC48vZ-nqYcQ96VRIhVIfWyOYSFRFAK-IypzuY-b5uedCsEPkFPPnoNsdsndlWSmH5Ondi8YSCd6IZW0NEhoa1hdiqPSLjf/s1600/001.MKATABA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPF5OQn71eftsNPvMOD56HMesnFoEx9gpKlKR1QqCbv5x6IKC48vZ-nqYcQ96VRIhVIfWyOYSFRFAK-IypzuY-b5uedCsEPkFPPnoNsdsndlWSmH5Ondi8YSCd6IZW0NEhoa1hdiqPSLjf/s72-c/001.MKATABA.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/kampuni-za-simu-zasaini-mikataba-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/kampuni-za-simu-zasaini-mikataba-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy