RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA UKAGUZI HESABU ZA SERIKALI KUTOKA KWA CAG

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Musa Assad (kushoto), akimkabidhidhi Ripoti yake ya ukaguzi wa hesabu z...



Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Musa Assad (kushoto), akimkabidhidhi Ripoti yake ya ukaguzi wa hesabu za serikali, Rais  Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Machi 27, 2015

Rais akiifungua ripoti hiyo, huku katibu mkuu kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (kulia) na mdhibiti na mkaguzi mkuu wa serikali, Profesa Asad, wakishuhudia.

Rais akisikiliza maelezo ya Profesa Assad, kuhusu ukaguzi wake

Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad. Wa tatu kulia mstari wa mbele ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue. (Picha na Freddy Maro)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA UKAGUZI HESABU ZA SERIKALI KUTOKA KWA CAG
RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA UKAGUZI HESABU ZA SERIKALI KUTOKA KWA CAG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEga29Viv-ktispMM1vsbMyATAPFRI-A5261gq3jQWIj8YyDkzkeILUtPin9zzz_Pn26FeNV1OJO3OakoBk9H9uyHZXJNA4HIKN-n3XSPqE9zNpmY2I50XodK0UAgJnBsX9zmItsN-UNE38/s1600/D92A2460.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEga29Viv-ktispMM1vsbMyATAPFRI-A5261gq3jQWIj8YyDkzkeILUtPin9zzz_Pn26FeNV1OJO3OakoBk9H9uyHZXJNA4HIKN-n3XSPqE9zNpmY2I50XodK0UAgJnBsX9zmItsN-UNE38/s72-c/D92A2460.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/rais-kikwete-apokea-ripoti-ya-ukaguzi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/rais-kikwete-apokea-ripoti-ya-ukaguzi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy